Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Baada ya kusex na mtu kwa muda mkubwa hutokea kitu kinaitwa sex rut yaani mwenza anakosa hamu ya tendo kwa mwenzake na kujikuta anafanya kwa kukamilisha ratiba.
Inaweza kuwakumba wote au mmoja kati ya hao.

Kinachopelekea hali hii ni kukaririwa kwa ratiba na kutokea dynamic kwenye tendo au hata eneo la kusex.

Naomba niseme kua Wanandoa hawawezi kusex kila siku milele itafika muda ile spark ya kwenye sex inapotea.
Ikitokea nimesafiri japo siku 4 tu nikirudi home huo moto wake hatareee
 
Wala sihofii kusadiwa,ila kufanya mapenzi kila siku sio guarantee kuwa mwenzi wako hachepuki, hebu tupeane nafasi ya kupumzishana miili tuwe fresh kifikra ili tufurahie tendo badala ya kulifanya kama wajibu, maisha yenyewe haya ya sasa kuanzia asubuhi ni mikiki mikiki mpaka jioni

Tendo halali la ndoa ni tiba ya mikiki mikiki ya maisha.

Ukipigwa game kisawasawa aisee stress za uchovu zinakwisha kabisa.

I guess wewe sio mwanandoa ila unapiga ndondo cup
 
Aisee hatuzumnguzii ngono hapa bali tendo la ndoa lililo rasmi.

Hivi kupeana tendo ni kukosa kazi kweli???
Off course ni kukosa kazi na kulengesha akili zetu kuwa tumeoana kwa ajili ya hilo tukio, to me na mwenzi wangu hakika ni hapana! Tunafanya ndio lakini si kila siku kama mfanyavyo nyie
Sababu kuu hatutaki kuchokana, kila siku kubinuana mwisho ubunifu huwa 0, lazima kuna mmoja wenu atafanya kama wajibu wake lakini hatofanya kama haki yake, muwe mnapeana muda hata wa siku 3-4-5 ziwe siku za kisses na romance tu wakubwa sio kila siku kulima shamba ardhi nayo inachoka mwisho huisha rutuba
 
Tendo halali la ndoa ni tiba ya mikiki mikiki ya maisha.

Ukipigwa game kisawasawa aisee stress za uchovu zinakwisha kabisa.

I guess wewe sio mwanandoa ila unapiga ndondo cup
Akili yako isikutume kupangia watu maisha, mimi ni mwanandoa na Nina watoto watatu ndani ya ndoa yangu ya miaka mi 5, kufanya tendo la ndoa kila siku wala si kiashiria cha upendo labda kama mmeoana wote mkiwa wapenda ngono mkuu
 
Baada ya kusex na mtu kwa muda mkubwa hutokea kitu kinaitwa sex rut yaani mwenza anakosa hamu ya tendo kwa mwenzake na kujikuta anafanya kwa kukamilisha ratiba.
Inaweza kuwakumba wote au mmoja kati ya hao.

Kinachopelekea hali hii ni kukaririwa kwa ratiba na kutokea dynamic kwenye tendo au hata eneo la kusex.

Naomba niseme kua Wanandoa hawawezi kusex kila siku milele itafika muda ile spark ya kwenye sex inapotea.
Labda kama mumepanga single rum na vyumba vinatenganishwa na koridoo. Ila ngoma inapgwa kila kona, kona za Milango yote ya nyumba, sitting rum, kwa meza ya chakula uvunguni akpga deki, daha kila sehemu kuna mda na Siku yake.
 
Back
Top Bottom