Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Akili yako isikutume kupangia watu maisha, mimi ni mwanandoa na Nina watoto watatu ndani ya ndoa yangu ya miaka mi 5, kufanya tendo la ndoa kila siku wala si kiashiria cha upendo labda kama mmeoana wote mkiwa wapenda ngono mkuu

Miaka 5 una watoto wa 3 halafu unasema use. Kila siku? Embu acha kutudanganya.
 
Kiafya haitakiwi kila siku, angalau ruka siku moja au mbili au tengeneza gape ya aina yeyote tu. Mkipiga siku mbili au tatu mfululizo mpate muda wa kupunzika pia siku moja au zaid
 
Miaka 5 una watoto wa 3 halafu unasema use. Kila siku? Embu acha kutudanganya.
Kama umezoea kudanganya sio kila Mtu anadanganya, kufanya tendo la ndoa kila siku haimaanishi kuwa utazalisha, kwanza ndio unajiingiza kwenye hali ya mwenzi wako kutoa sperm butu maana hapati muda wa kupumzika nyie kila siku mnalima mnalima hampumzishi mbegu wala shamba lenyewe, ni ukweli Nina watoto watatu mkubwa wao ana miaka 6 na hawa wadogo wawili wamepishana mwaka tu maana nilim bebea wakati nanyonyesha, kuna umuhimu mkubwa sana wa kupumzishana hasa wanawake lakini kwa kua wake zenu mmewageuza punda nyie mnapakia tu bila kujali punda Huyo yuko kwenye hali gani
 
Avatar ya mleta uzi inaonyesha mzunguko wa hedhi na jinsi ya kufanya mapenzi. hahahahahahhahah! umoooooooooooooooo
 
mi na mwenzangu tuliamua kuwa na sex marathon 'sexathon' do it atleast mara mbili kwa siku, ilipofika siku 4 mwenzangu ananiambia kichwa kunamuuma hahaha deep down i was feeling the same. wengine wanaweza kila siku, wengine ni kama ratiba ya msosi. lakini its amazing ikiwa spontaneous.
 
Kuna wanaofanya zaidi ya mara moja.



[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBaCkBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDenaAmsi[/HASHTAG]
 
Uhalisia ni kuwa huwezi kusex siku zote eti unaacha siku za hedhi tu??!!!!...nimeshangaaa sana..kama wanandoa hasa wanaume tunafanya hivi basi mjue wazi kuwa huyo mkeo hafurahii ladha ya sex badala yake anafanya tu kwa kuogopa atakukwaza ila kinyume chake unamkwaza yeye ..na ukitaka kuamini mwambie kuwa unasafiri uone anavyofuhi moyoni ili tu apate kupumzika...miwe manafanya hivyo wakuu mtaharibu ndoa zenu..
 
Kila siku baada ya kutoa zile siku za heshima kwa mwanamke au unamaanisha nini?
 
Sex ndio jambo kuu (main) hayo mengine ni madogo sana (miner) ww jaribu kufanya hayo mengine acha hilo la msingi kama hujasambaratisha ndoa yako
Kama mawazo yako ndio haya basi mkeo ni mtumwa kwako,nampa pole sana
 
Back
Top Bottom