Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Kuna wakati tunashiriki asubuhi na kioni kila siku. Kuna wakati tunapata mara mbili kwa wiki
 
Dawa ipo, pindua ratiba nzima. Hata kwenda naye lodge na kulala huko siku mbili inasaidia.
Kusex kiratiba na kupindishwe, pia fanyia kazi huo uchovu wake.
Asante mkuu hilo la lodge ndo la muhimu,
Mazoea yakizidi ndo shida zenyewe hzo
 
Kuna mambo mengi kwenye ndoa zaidi ya sex. Sex ni hisia huwezi kuwa na hisia ukiwa na jambo linasumbua kichwa tusidanganyane
 
Kuna mambo mengi kwenye ndoa zaidi ya sex. Sex ni hisia huwezi kuwa na hisia ukiwa na jambo linasumbua kichwa tusidanganyane
Sex ndio jambo kuu (main) hayo mengine ni madogo sana (miner) ww jaribu kufanya hayo mengine acha hilo la msingi kama hujasambaratisha ndoa yako
 
Mbongo akiamka tu anajipapasa pumbu zake anawaza nimpe nazo nani Leo?badala ya Kuwaza kutafuta hela
 
Back
Top Bottom