Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Labda kama mumepanga single rum na vyumba vinatenganishwa na koridoo. Ila ngoma inapgwa kila kona, kona za Milango yote ya nyumba, sitting rum, kwa meza ya chakula uvunguni akpga deki, daha kila sehemu kuna mda na Siku yake.
Watu wanaosex kwa huu mtindo hua wanakua na uhusiano wa kingono imara na wenye afya.

Wale kusex ni kitandani na mitindo ni doggy na missionary wanakaribisha tatizo.
 
Baada ya kusex na mtu kwa muda mkubwa hutokea kitu kinaitwa sex rut yaani mwenza anakosa hamu ya tendo kwa mwenzake na kujikuta anafanya kwa kukamilisha ratiba.
Inaweza kuwakumba wote au mmoja kati ya hao.

Kinachopelekea hali hii ni kukaririwa kwa ratiba na kutokua dynamic kwenye tendo au hata eneo la kusex.

Naomba niseme kua Wanandoa hawawezi kusex kila siku milele itafika muda ile spark ya kwenye sex inapotea.
Good sex huanzia katika excitement, mkeo unakosa hizo excitement!
ni kama tofauti ya mechi live na replay/recorded!
kwa kuwa hujui nini kitatokea unakuwa very excited, ila kwa wife huwa tunajua kila kitu naye anajua, so mzuka hauwi kivile!
Ila hii hupanda na kushuka, lkn spacing ya games pia husaidia kufanya tendo linoge kidogo!
kwa maana hiyohiyo si rahisi kula mzigo daily unless ktk miezi kadhaa ya mwanzo wa ndoa, lkn pia spacing inakuja automatically baada ya kila mtu kupunguza mzuka na mwenzie!
kwako nini shida yako?
umepunguza game au unadaiwa kila siku unaona kuumia!
 
Kasi ya kula wali maini nyumbani ni ile ile hata kama umekula mchemsho mgahawani
Hahahahaha vipi kama nikikwambia kua ule mchemsho wa mgahawani ndiyo unakufanya uendelee kuona wali maini wa nyumbani ni mtamu?
 
Aisee ni daily, no break Mpwa! Kuna raha yake na ni nzuri kiafya sana. Inapunguza cholesterol na kuimarisha viungo! Hasa upate My Wife Msafiiii, yaani unaingia chumbani unakuta kitanda kimenyooshwa utadhani ni siku ya Inspection enzi za Boarding (/sorry kama hukusoma boarding). Kwa kando pale ameweka kitabu kitakatifu ili mkianza mchezo msipate mawazo mabaya ya kishetani!!! Amekuwekea na Jagi LA Maji ya kunywa ya baridi just in case Rejeta itapata moto katikati ya safari. Aaghh anawasha AC au Feni na kisha anakwenda kuangalia kama watoto wamelala vizuri ndio anarudi sasa. Akija anaweka vizuri simu yako kwenye chaja halafu anahakikisha kule bafuni chumbani Maji Yapo kwenye ndoo au yanatoka kwenye shower!!

Kitakachofuata hapo ni usingizi mzitooo baada tu ya kumaliza, unashtuka kitaulo cha baridi kinapitishwa maeneo yaleee unasafishwa vizuri halafu mnakwenda kukoga au anakufuta kila mahali. Lazima useme asante Mke wangu Mpenzi, lazima uwahi nyumbani tu. Labda kama huyo mwanamke sio wa TANGA
 
Good sex huanzia katika excitement, mkeo unakosa hizo excitement!
ni kama tofauti ya mechi live na replay/recorded!
kwa kuwa hujui nini kitatokea unakuwa very excited, ila kwa wife huwa tunajua kila kitu naye anajua, so mzuka hauwi kivile!
Ila hii hupanda na kushuka, lkn spacing ya games pia husaidia kufanya tendo linoge kidogo!
kwa maana hiyohiyo si rahisi kula mzigo daily unless ktk miezi kadhaa ya mwanzo wa ndoa, lkn pia spacing inakuja automatically baada ya kila mtu kupunguza mzuka na mwenzie!
kwako nini shida yako?
umepunguza game au unadaiwa kila siku unaona kuumia!
Hapa ilibidi umquote ndugu Shonkoso. Post yako imeongezea pale ambapo yangu iliacha.

Naunga mkono hoja.

Hata hivyo Kuna namna za kuepuka sex rut.
 
Trump alisema kila mvua ikinyesha African tunawaza kugongana tu! Ndio maana anapendekeza tutawaliwe tena.
 
Baada ya kusex na mtu kwa muda mkubwa hutokea kitu kinaitwa sex rut yaani mwenza anakosa hamu ya tendo kwa mwenzake na kujikuta anafanya kwa kukamilisha ratiba.
Inaweza kuwakumba wote au mmoja kati ya hao.

Kinachopelekea hali hii ni kukaririwa kwa ratiba na kutokua dynamic kwenye tendo au hata eneo la kusex.

Naomba niseme kua Wanandoa hawawezi kusex kila siku milele itafika muda ile spark ya kwenye sex inapotea.
Dahh mkuu umenigusa!!!! eti napewa kalenda siku hzi wakti mwanzo alikuwa anaanzisha yy match kila nikirudi kazini na kabla cjaenda kazini,,
Hv hii kitu haina dawa kweli? wanasingizia wanachoka nabaki najiuliza unachoka nn ikiwa upo nyumbani? je mm ninae amka saa 11 naanza kugombana na makondakta na kurudi hvo hvo nisemeje?
Mwishoni ananipa kiunyonge hata siinjoy khaaaaa,,haaa
 
Back
Top Bottom