Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Nimeshangaa kumbe wanandoa wengine mna ratiba ya Ku sex. Hiyo kitu haina ratiba kwani hutokea automatic kutegemeana na mudi
 
Kama Hanna shughuli za kufanya itakuwa kila SKU labda mmoja awe mgonjwa ila kama kazi za kufanya zipo unaweza kupita hata Siku tatu bila kuduuu
 
na Ndo maana , ikaamliwa walau , kuwa na mke zaidi ya mmoja na wasiozidi wanne, ili kumpumzisha mkeo.

maumbili ya mwanamke na mwanaume ni tofauti kihisia na hii inasaidia kuongeza hata ile hali ya kuzoeana,
 
Angekuwa anakereka/hafurahii angerudi kwao vinginevyo Ana matatizo ya Akili ndio maama anang'ang'ania
Wanavumilia tu mkuu ila kusema kweli wanakereka jaribu kufanya uchunguzi mkuu utaona
 
Sababu n kutupia kamoja kamoja hasa wanaume wa Dar hamuwez hat trick, Chips mayai zinafanya madem zenu was ridhike thus why mnatiana kama bata.
Toeni huduma ya kutosha kwa muda muafaka.
 
Back
Top Bottom