johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,917
- 141,880
- Thread starter
- #21
Nimekuelewa bwashee!Si lazima....
Ila ni utaratibu wa nchi yetu tu ambayo hufuata nchi za jumuiya ya madola......
Ikumbukwe NCHI YETU ni ya "kipekee" kuanzia UJAMAA WAKE WA KIAFRIKA mpaka MUUNGANO WAKE wa nchi mbili....
Yako Mambo ambayo si lazima kuyaiga kwa wengine na ambayo hutupa UPEKEE na UTULIVU wetu wa kupigiwa mfano......
Mfano marekani ,wale secretaries (mawaziri wao) baada ya kuteuliwa huapa na kuapishwa bungeni tena haihudhuriwi na wabunge wote(senates) bali wale wa kamati ihusuyo wizara hiyo...mfano;Kamati ya bunge ya Mambo ya nje hushuhudia uapisho wa WAZIRI WA MAMBO YA NJE......
#StaunchSupporterOfTanzania
#DieHardFanOfCCM