Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Hahahaha nimeelewa sana mbona, mie ndio mcute wake no matter what lol
Hahahaha nimeelewa sana mbona, mie ndio mcute wake no matter what lol
nipo tu binamu, kujiandaa na uzee tu....Kila siku nyuzi za kuulizia umri na uzuri wetu. Tuwarahisishie kazi tu.
Alafu ulipoteleaga wapi![]()
KumbeUsidanganyike na wanavyojishebedua , hamna kitu .Chura pia hawana , yaani sura mbuzi kalio pasi
Sent using Jamii Forums mobile app
We una akili mamaa
Duh
ukuje PM🙄😌😒Unaomba nini mbele ya watu babe
NIPO BOSS WANGU AISEEUpo.joverest
Sijisifii sana, lakini nimekuwa moja ya watu wenye bahati ya kuona mwanamke mzuri humu JF.
I mean mzuri sana.




Dogo Asante kama ni kweli.Hatimaye umekuja mwenyewe!
Hii ndiyo ile ya jana niliyokwambia.
Ndiyo conclusion iliyofikiwa, kazi kwenu kuthibitisha kwamba mnasingiziwa.Kwa hiyo sie warembo hatuna akili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli gongo si nzuri kwa afya ya akili






umemaliza yote
Usidanganyike na wanavyojishebedua , hamna kitu .Chura pia hawana , yaani sura mbuzi kalio pasi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 kabisa sisi wote ni wabaya ka weweUsidanganyike na wanavyojishebedua , hamna kitu .Chura pia hawana , yaani sura mbuzi kalio pasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Niruhusu na mimi nikutafute, nitaleta mrejesho
Swadakta sheheWalioko humu ndo walioko nje, kuna watu huku nje hawana kampani ya wanawake wazuri, most likely hata humu utakuwa na kampani kama hiyo.
NB: Uzuri pia unategemea na nini unakitaka kwa mwanamke.