britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,211
- 41,788
- Thread starter
- #21
Kabisa
Kabisa
No, sibishi kuwa unasura ngumu licha ya kuwa una sura ngumu lkn pia unaakili na ndio uzuri ulionao auSasa unabishana na mimi au wewe ndo uliniumba?



Kumbe unazungumzia hivyo, lakini mwanzo hukuanza hivyoNo, sibishi kuwa unasura ngumu licha ya kuwa una sura ngumu lkn pia unaakili na ndio uzuri ulionao au
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo.joverest
Unaomba nini mbele ya watu babe
Ndio hivohivo sema ulinitafsiri kinamna yakoKumbe unazungumzia hivyo, lakini mwanzo hukuanza hivyo
HahajajaHahahaKuna wanawake humu wanachambua zana za kivita na majina ya mabomu yote duniani wanayajua, rangi za sare za majeshi yote wanafahamu kwakweli hao kimbia haraka sana ni wagumu hatari.
Kama avatar ni yako wewe ni mremboUwiiii kumbe mi mzuriii? Sijawahi ambiwa ati mi mremboo
Vodka si nzuri sana kuna hata wanawake wafupi kama manengelo alisema mwenyewe kuwa si mfupi sana ila mfupi, na wanasemaje kuwa wafupi wasumbufu wa bedi
Baby usiumize kichwa na hawa, urembo wako nautambuaSasa unabishana na mimi au wewe ndo uliniumba?
oyee😂😂😂😂😂...wafupi.oyeeee
Oyeee nyie wafupiii😂😂😂😂😂...wafupi.oyeeee
Kwasababu akili.ya darasan ndio kitu pekee ambacho kitampa confidence mbele za watu,hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili