Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
HahahahHapana kwakweli...tuendelee kumlilia Mnyaazi
Tukimlilia mwisho wetu unakuwaje sasa
HahahahHapana kwakweli...tuendelee kumlilia Mnyaazi
😂😂😂 labda tutasikilizwa😂😂lamba loloHahahah
Tukimlilia mwisho wetu unakuwaje sasa
Kuna Dada nilikutana naye NBC pale UDSM kavaa T-shirt imeandikwa Too Cute To Do Maths.




daah aiseeWanawake wote wabovu walioshindwa maisha wako hapa.ma single mother.warembo wachache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hata kimojaMungu hakupi vyote we una akili au sura?
daah aisee
She was real cute, sema sikupata muda wa kumuuliza anasoma course gani.


ana bahati walau anacho cha kuringia. Wale wenzangu na mimi sura imegoma math nayo imegoma sijui inakuwajeNi swali tu, maana nahis JF ni forum ya wagumu, haitoi fursa kutangaza uzuri wa mtu kwa sura, au Amber ruti yake,
Katika mawazo Nawaona wadada wa JF kama wale wadada waliokuwa wanaongoza masomo ya sayansi shuleni, yaan sura Ngumu ngumu tu
Maana mtandao wa GT huu hauwezi kupata watoto warembo
Sijaponda mtu japo wapo wale kama kina kapeace nahis ni miongoni mwa wachache warembo, sijamsahau Demiss na Miss Natafuta Kuna Toto la Kinyarwanda roselina john
View attachment 1062770
Nataka kuwaona design hiiView attachment 1062771
Ikumbukwe nimeandika nikiwa nimelewa
NakaziaNaunga mkono hoja
Pengine wabaya hawajisemiSasa unabishana na mimi au wewe ndo uliniumba?
ana bahati walau anacho cha kuringia. Wale wenzangu na mimi sura imegoma math nayo imegoma sijui inakuwaje
Kama........ssNa humu ukiona mwanamke ana masikhara basi sura na umbo vinavutia sana.
Mi siungi mkono hoja,Naunga mkono hoja
Oyeeee...wafupi.oyeeee
Mi mwenyewe nimehakiki mara mbili mbili Kama kweli ni yeye kapost
Wishing ningepata hii kandarasi kisha nilete mrejesho jukwaani....Nitafute unione