Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

Dah...iliwahi kuandikwa humu...ili utoboe kimaisha unahitaji kimoja kati ya hivi viwili
1. Uwe na nguvu nyingi
2. Uwe na akili nyingi
3. Uwe mzuri

Sent using Beretta ARX 160
 
NB: Kwa mwanamke, msichana, mdada au bintie kukili udhaifu kuwa eti ni mbaya wakati umevaa Pete,au una mpenzi, mchumba, mume au bwana ni kumdhalilisha mwanaume wako so pls ladies tusidhalilishane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukiwa mbaya ni kitu cha ajabu bwana???Kumdhalilisha ulo nae inaingiaje hapa???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom