Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii,

Ujue nin mkuu, binafs huwa naamini tunaishi kwa kuoneana huruma sana, unakuta mtu ni sura mbaya/sura ngumu, sura,ya kazi lkn saaasa kuna mtu anampenda, halali kwaajili yake, kila mda anamuwaza, anamjali, anamthamini mpaka naye haswaaa anajiona kama yupo nje ya hii dunia,, na huo ndio uhalisia wa neno mapenzi na maajabu yake.


Mungu fundi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23],hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui kwann yan mkuu inakua ivi
Maana ata mm nashangaaga unaweza ukasoma [emoji405] ata 5 usikutane na mtoto mzuri wa JF
 
[emoji23][emoji23][emoji23],hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili
Haha
 
Kuna wanawake humu wanachambua zana za kivita na majina ya mabomu yote duniani wanayajua, rangi za sare za majeshi yote wanafahamu kwakweli hao kimbia haraka sana ni wagumu hatari.
Haha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom