Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

Ni swali tu, maana nahis JF ni forum ya wagumu, haitoi fursa kutangaza uzuri wa mtu kwa sura, au Amber ruti yake,

Katika mawazo Nawaona wadada wa JF kama wale wadada waliokuwa wanaongoza masomo ya sayansi shuleni, yaan sura Ngumu ngumu tu

Maana mtandao wa GT huu hauwezi kupata watoto warembo

Sijaponda mtu japo wapo wale kama kina kapeace nahis ni miongoni mwa wachache warembo, sijamsahau Demiss na Miss Natafuta Kuna Toto la Kinyarwanda roselina john

View attachment 1062770
Nataka kuwaona design hiiView attachment 1062771

Ikumbukwe nimeandika nikiwa nimelewa
Dah mkuu pole sana inaonekana wewe uko so sorrounded na wadada wabaya wabaya tu maanake umeshindwa hata kututumia picha za hapo ulipo au mazingira yanayofanana na mahali ulipo

Badala yake ukaenda kudanlodi google

Naandika nikiwa nimelewa pia mkuu yaani hapa Nipo nzwiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh labda avatar kali tu ila kwenye nyuzi zangu za kwanza ni uzi wa kumsifia mtoto fulani hiv wa humu, mkali kweli anaitwa mahondaw labda na mtu aliyeweka picha ya Kim nanaa atakuwa anaitendea haki
Naandika nikiwa na hangover ya dadii

Mwezrahi
 
Ni swali tu, maana nahis JF ni forum ya wagumu, haitoi fursa kutangaza uzuri wa mtu kwa sura, au Amber ruti yake,

Katika mawazo Nawaona wadada wa JF kama wale wadada waliokuwa wanaongoza masomo ya sayansi shuleni, yaan sura Ngumu ngumu tu

Maana mtandao wa GT huu hauwezi kupata watoto warembo

Sijaponda mtu japo wapo wale kama kina kapeace nahis ni miongoni mwa wachache warembo, sijamsahau Demiss na Miss Natafuta Kuna Toto la Kinyarwanda roselina john

View attachment 1062770
Nataka kuwaona design hiiView attachment 1062771

Ikumbukwe nimeandika nikiwa nimelewa
MONEY PENNY ME
THE Most Beautiful 50 yr old Mama hujawahi ona
Nenda Youtube yangu utaniona!
na Sayansi nimesoma na PCB nimesoma
What does Science have to do with Beauty?
CC: Honey 50thebe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom