Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
HapanaYaa, ila wewe kama umepewa vyote
Mti wenye matunda.
,hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili
Sawa baby
Oyeee nyie wafupiii
Hivyo eeh? Kwani huwa wanaamua kuwa ngoja niwe na akili? Wengine wanakuwa na akili tangu chekechea shule ya msingi hata hajajitambua hali yakeKwasababu akili.ya darasan ndio kitu pekee ambacho kitampa confidence mbele za watu
Khantwe nilikua na akili mm darasani..sijui zimepoteleaga wap
![]()


kama nilivyosema, sijamaanisha wazuri wote hawana akiliMama sabrina upoooo
Hahaha
Mungu hakupi vyote we una akili au sura?Hivyo eeh? Kwani huwa wanaamua kuwa ngoja niwe na akili? Wengine wanakuwa na akili tangu chekechea shule ya msingi hata hajajitambua hali yake
Hivyo eeh? Kwani huwa wanaamua kuwa ngoja niwe na akili? Wengine wanakuwa na akili tangu chekechea shule ya msingi hata hajajitambua hali yake
Nmeonana na wanawake kadhaa wa jf hasa wale wa ile segment ya @Loveconnect, aisee ni majanga. Wana akili sana lkn hawavutii kabisa.
Kama unaoa akili tafuta mchumba humu, kama unaangalia nyanja zingine kimbia haraka sana.
Wenye sura za baba tunaruhusiwa kucomment