Hiyo ni zilipendwa.Uzuri wa Mwanamke siyo Ulembooo ni tabiaaa siyo ule..... Ni tabia siyo ule mbooo ni tabia
Daah hivi mtu unaanzaje kumcheka mtu eti mbaya"Ukitaka kitu kizuri lazima uwe mzuri"
Wakikucheka kwako hiyo ni fursa ya kutokea
nacho maanisha watu wa namna hiyo huitumia fursa vizuri anapooana watu hawamsumbui sana anatumia muda mwingi kutengeneza future yake
den end of the day watu wakikuona ww ni potential watakufuata kipindi ambacho umekuwa very expensive
kna mdada ktk chuo flani sitakitaja
alikuw na sura ngumu wakaka wakawa hawamtak,wakimuona wanamcheka yni akawa anajifeel vibaya lkn hakujali sana akapambana kupiga kitabu wamegraduate na ndo amekuw mtu wa kwanza kupata ajira mshahara 1.2m per month,,wakaka waliokuw wanamcheka wapo tu mtaani wakaanza kutafuta namba yake kwa fujo hakuw na time na mtu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Abeeh ba mkwe wanguMama mkwe wangu SHUNIE
Hapo nilikuwa nawakumbusha kuwa katika list wamemsahau mama mkwe wanguAbeeh ba mkwe wangu
Na mama mkwe wako alivyokua na sura ngumu sasa huku kufanana na baba zetu ni shidaHapo nilikuwa nawakumbusha kuwa katika list wamemsahau mama mkwe wangu
Hahaha sidanganywagi kizembe izo mama mkweNa mama mkwe wako alivyokua na sura ngumu sasa huku kufanana na baba zetu ni shida
Kwahiyo bamkwe wangu kukwambia ukweli ni kukudanganya eenhHahaha sidanganywagi kizembe izo mama mkwe
I love you crazy![emoji8][emoji8][emoji8]Uwiiii kumbe mi mzuriii? Sijawahi ambiwa ati mi mremboo
Ukute mwanamke wa jf anachambua wachezaji wa ligi hadi za saud arabia au anachambua zana za kivita yaani mabomu na mizinga yote anafahamu kwakweli hapo kimbia haraka
Nitafute unione
Jamaa hatariUmefanya nicheke sana
Ngozi ya.....Heheee umenikumbusha shule kuna shost alikuwa na akili ila uso kama ...
Umenifanya nikamkumbuka kaka mmoja tulisoma nae aisee ni mfupi kama piere alafuuu.... Ila ni kichwa hatari. Sijui hata yuko wapi siku hizi.[emoji23][emoji23][emoji23],hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili
unapata shida ya nini binamu.....?Inaelekea wanaume wa jf mnateseka sana na sisi, itabidi tuwe tunaweka picha zetu kwa profile na sura hizi za baba zetu na umri kabisa ili tuwarahisishie kazi.