Braitfyucha
Senior Member
- Feb 22, 2019
- 163
- 187
"Ukitaka kitu kizuri lazima uwe mzuri",hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili
Wakikucheka kwako hiyo ni fursa ya kutokea
nacho maanisha watu wa namna hiyo huitumia fursa vizuri anapooana watu hawamsumbui sana anatumia muda mwingi kutengeneza future yake
den end of the day watu wakikuona ww ni potential watakufuata kipindi ambacho umekuwa very expensive
kna mdada ktk chuo flani sitakitaja
alikuw na sura ngumu wakaka wakawa hawamtak,wakimuona wanamcheka yni akawa anajifeel vibaya lkn hakujali sana akapambana kupiga kitabu wamegraduate na ndo amekuw mtu wa kwanza kupata ajira mshahara 1.2m per month,,wakaka waliokuw wanamcheka wapo tu mtaani wakaanza kutafuta namba yake kwa fujo hakuw na time na mtu tena
Sent using Jamii Forums mobile app


