Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti?

Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti?

Kuna jamaa flan ni IT mke wake ni mtoto wa kaka yangu.alikuwa akimuamini mkewe sanaa tena sanaa.na mke alikuwa material haswa wa kuvumilia hali zote anaejua majukum yake.hahaha akamtemtegea vikamera na vitakataka vingine hapo nyumbani.
Siku hiyo amekuja ofisn kwangu anahema huku anakuna kichwa mara ajikune mara ajiume hahaha nikamuuliza vipi shemeji mbona hivyo??!!!
Akaanza kunionyesha video huku ananiomba msamaha kwamba atanivunjia heshima lakini hakuna mtu mwingine ambae angeweza kumtoa katika hilo jinamizi ila mimi.
Daahhhh shetani kumbe bado mtoto mdogo sana ndo anajifunza zambi!
Wanawake ndio mama lao hahaha!!!
 
Wapo wengi tu
Wapo wanawake ambao siyo wasaliti lakini siyo wengi kama unavyosema wewe. Wanawake waaminifu ni wachache sana. Inasemekana katika Taifa letu la Tanzania, katika kila familia ya watoto sita, watoto wanne siyo wa baba husika. Hii inatosha kuonyesha ni jinsi gani ninyi wanawake msivyo waaminifu kwenye ndoa zenu.
 
Huo ushamba
Wanaume tuwe na uelewa, kama binti umemkuta hana bikira si wako, xo kuna mwenza wake aliyemtoa bikira na hawezi kumnyima hata ck moja licha ya kuwa haishi naye kamwe, kwa hiyo ukiona kakuacha ujue kapata mwingine kama alivokuja kwako na kumwacha mwanaume mwenzako akiwa na maumivu kama unayoyapata wew, MKE HALISI NI YULE ULIYEMTOA BIKIRA NDUGU wanaume wenzagu, mtoa bikira kwa msichana hasahauriki ata siku moja, maana ndo aliyemwingiza mjini {a.k.a MAHABA} ni sawa na wakala wa mess kumtoa kijijini kwao ARGENTINA hadi BARCELONA
.
Huo ushamba, mi nilishatoa bikra mabinti saba na leo hii watano kati yao wameolewa, na tukikutana tunaheshiminiana hata hao wawili ambao hawajaolewa, wanajiheshimu na mahusiano yao.
Inategemea na akili za uliyembikiri, kwa sababu hata usingembikiri wewe bado angebikiriwa na mwingine, so hujamfanyia kitu kitu cha ajabu ambacho wengine wasingeweza kumfanyia.
 
Kikubwa uwe na line ya Airtel ,ukiwa na line ya Airtel wanakuona zimo Kumbe la hasha, maana wewe inaonekana unasalitiwa maana mfuko haupo vizuri
 
Duh, kwa mwendo huu ndoa nyingi zitakufa. Muwapo kwenye ndoa migongano ni lazima, lakini kama mtapishana halafu ukakimbilia kutafuta faraja nje, hakika umepungukiwa hekima ya ndoa. Ndio maana sio kila mwanamke anafaa kuwa mke!!
Si kweli mwanamke akiamua kukupenda na kazi yako ya kuuza mkaa au kuuza samaki anakupenda kikweli kweli na wala hatetereki na gari la jirani,

Cha msingi upendo tuu,na upendo unabeba vitu vingi sana

Mke anakuvumilia kwa hali uliyonayo anakupenda kwa moyo wake wote,unaanza kumtolea kauli za kejeli

Acha kumdharau mkeo kwa kauli za kejeli na eti unamwambia mkeo mjinga,mpumbavu,mara wewe mwanamke gani,

Tatizo linakuja pale mwanaume anakuwa haoni umuhimu au dhamani ya mkewe,na dhamani ya mke sio gari tuu,kauli za mapenzi muhimu sn kwa mkeo,

Unafikiri mwanamke amechepuka kwaajili ya kufata gari au pesa?noo"kauli nzuri ni utajiri tosha
 
Habari yenu,

Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba. Wanawake zaidi ya watatu wote nagundua wasaliti.

Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?
Bado una hill tatizo? Maana majuu uliko nasikia eti wakipenda wamependa, ahaa
 
Kuna jamaa flan ni IT mke wake ni mtoto wa kaka yangu.alikuwa akimuamini mkewe sanaa tena sanaa.na mke alikuwa material haswa wa kuvumilia hali zote anaejua majukum yake.hahaha akamtemtegea vikamera na vitakataka vingine hapo nyumbani.
Siku hiyo amekuja ofisn kwangu anahema huku anakuna kichwa mara ajikune mara ajiume hahaha nikamuuliza vipi shemeji mbona hivyo??!!!
Akaanza kunionyesha video huku ananiomba msamaha kwamba atanivunjia heshima lakini hakuna mtu mwingine ambae angeweza kumtoa katika hilo jinamizi ila mimi.
Daahhhh shetani kumbe bado mtoto mdogo sana ndo anajifunza zambi!
Wanawake ndio mama lao hahaha!!!

Ilikuwaje
 
Wapo wanawake ambao siyo wasaliti lakini siyo wengi kama unavyosema wewe. Wanawake waaminifu ni wachache sana. Inasemekana katika Taifa letu la Tanzania, katika kila familia ya watoto sita, watoto wanne siyo wa baba husika. Hii inatosha kuonyesha ni jinsi gani ninyi wanawake msivyo waaminifu kwenye ndoa zenu.

Huu utafiti umeutoa wap
 
Habari yenu,

Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba. Wanawake zaidi ya watatu wote nagundua wasaliti.

Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?

Mi nilienae si msaliti kabisa nimemtega mara nyingi maana kuna wakati michango yake humu jukwaani Mhhhhh😕😕
 
Wa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...

Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.

Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.
miaka 22 bado sana mkuu.....huyo anamegwa kistaarabu
 
Back
Top Bottom