Wa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...
Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.
Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.