Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti?

Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti?

Wanawake wote mimi ndiyo hua nawasaliti, naomba namba za waliokusaliti nionyeshane nao kazi
 
Uvumilivu ni kitu muhumu mno kuishi na nyie... mi kuna tabia nilikuwa sizipendi ila kutokana na kuvumilia sasahiv nimeziona za kawaida na wala sioni kama ni issue kubwa tena.... lakini laiti kama ningeshindwa kuvumilia ina maana ningejikuta namchoka mapema
Sio kwa upande wetu tu hata nyie tuna wavumilia, yapo mambo unavumilia, unapotezea yapo ambayo mtu inabidi ukae nae chini umweleze kua anatakiwa kubadilika, sasa hapo kwenye kubadilika
 
Wa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...

Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.

Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.
Miaka 22 unatoa conclusive statement? Tema mate chini! Unaanza kumfahamu mwanamke akiwa 30+ na uishi naye si chini ya miaka 15.
 
Wapo wanaojtambua na wanajheshm. Utu n bora kulkon ktu.
 
Wanaume tuwe na uelewa, kama binti umemkuta hana bikira si wako, xo kuna mwenza wake aliyemtoa bikira na hawezi kumnyima hata ck moja licha ya kuwa haishi naye kamwe, kwa hiyo ukiona kakuacha ujue kapata mwingine kama alivokuja kwako na kumwacha mwanaume mwenzako akiwa na maumivu kama unayoyapata wew, MKE HALISI NI YULE ULIYEMTOA BIKIRA NDUGU wanaume wenzagu, mtoa bikira kwa msichana hasahauriki ata siku moja, maana ndo aliyemwingiza mjini {a.k.a MAHABA} ni sawa na wakala wa mess kumtoa kijijini kwao ARGENTINA hadi BARCELONA
Hapo ndipo mnapokosea, mkifanikiwa kuondoa hiyo Dhana nadhani utawapenda mno wanawake, Kuna wanawake wavumilivu wengi mno.
 
Wanawake ni rahisi na kudanganywa na pesa, magari, majumba n.k, hata kama awe mvumilivu kiasi gani mzee kama huna pesa atakuacha Tu.

Yajayo hayafurahishi, hatuko tayari
Si kweli mwanamke akiamua kukupenda na kazi yako ya kuuza mkaa au kuuza samaki anakupenda kikweli kweli na wala hatetereki na gari la jirani,

Cha msingi upendo tuu,na upendo unabeba vitu vingi sana

Mke anakuvumilia kwa hali uliyonayo anakupenda kwa moyo wake wote,unaanza kumtolea kauli za kejeli

Acha kumdharau mkeo kwa kauli za kejeli na eti unamwambia mkeo mjinga,mpumbavu,mara wewe mwanamke gani,

Tatizo linakuja pale mwanaume anakuwa haoni umuhimu au dhamani ya mkewe,na dhamani ya mke sio gari tuu,kauli za mapenzi muhimu sn kwa mkeo,

Unafikiri mwanamke amechepuka kwaajili ya kufata gari au pesa?noo"kauli nzuri ni utajiri tosha
 
Uvumilivu ni kitu muhumu mno kuishi na nyie... mi kuna tabia nilikuwa sizipendi ila kutokana na kuvumilia sasahiv nimeziona za kawaida na wala sioni kama ni issue kubwa tena.... lakini laiti kama ningeshindwa kuvumilia ina maana ningejikuta namchoka mapema
Kuanzia post yako pale huu #6 umetema madini tu, na unaendelea kuyatema, tell them mahusiano ni kuchukuliana na kusameheana baaaaaaasi, viungo vingine ongeza mwenyewe na chumvi koreza unavyoweza Kule kwa fundi selemala, wanawake waaminifu wapo kibao.
 
Si kweli mwanamke akiamua kukupenda na kazi yako ya kuuza mkaa au kuuza samaki anakupenda kikweli kweli na wala hatetereki na gari la jirani,

Cha msingi upendo tuu,na upendo unabeba vitu vingi sana

Mke anakuvumilia kwa hali uliyonayo anakupenda kwa moyo wake wote,unaanza kumtolea kauli za kejeli

Acha kumdharau mkeo kwa kauli za kejeli na eti unamwambia mkeo mjinga,mpumbavu,mara wewe mwanamke gani,

Tatizo linakuja pale mwanaume anakuwa haoni umuhimu au dhamani ya mkewe,na dhamani ya mke sio gari tuu,kauli za mapenzi muhimu sn kwa mkeo,

Unafikiri mwanamke amechepuka kwaajili ya kufata gari au pesa?noo"kauli nzuri ni utajiri tosha
Mkuu ni thamani siyo dhamani!
 
Habari yenu,

Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba. Wanawake zaidi ya watatu wote nagundua wasaliti.

Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?
Hayupo mwanamke ambae huwa anavumilia pesa impite kirahisi
 
Habari yenu,

Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba. Wanawake zaidi ya watatu wote nagundua wasaliti.

Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?
Mkuu wanawake wasio wasali wapo wengi tu,wewe tafuta mwanamke aliyeokoka kwelikweli hawezi kuwa msaliti,hawa ni waaminifu hadi kufa.Sasa ili umpate mwanamke wa aina hiyo inakubidi umwombe Mungu kweli kweli kwa kumanisha.
 
Nakubali unaweza kumtengeneza akiwa mdogo kama wako. Lakini wakubwa no vigumu sana.

Uvumilivu muhimu sana. Kujishusha mkuu fafanua, Ukijishusha sana ndio atakuacha, atakwambia you are not real man. Balance bro, it all about balance.
Kujishusha kwa mwanamke ni Aina ya udhaifu wa mwanaume na akigundua anakuumiza zaidi maana anajua kabisa anakuweza na huwezi kumuacha ukafanya maiha yako bila yeye.
Nilishawahi kujishusha kwa mwanamke mmoja huko ujanani aiseee alichonifanyia niliapa sitokuja rudia tena kujishusha kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom