Sio kweliWanaume tuwe na uelewa, kama binti umemkuta hana bikira si wako, xo kuna mwenza wake aliyemtoa bikira na hawezi kumnyima hata ck moja licha ya kuwa haishi naye kamwe, kwa hiyo ukiona kakuacha ujue kapata mwingine kama alivokuja kwako na kumwacha mwanaume mwenzako akiwa na maumivu kama unayoyapata wew, MKE HALISI NI YULE ULIYEMTOA BIKIRA NDUGU wanaume wenzagu, mtoa bikira kwa msichana hasahauriki ata siku moja, maana ndo aliyemwingiza mjini {a.k.a MAHABA} ni sawa na wakala wa mess kumtoa kijijini kwao ARGENTINA hadi BARCELONA
Did u get my SMS yesterday?...so busiest we jamaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]I am back my dear nipe mchongo wa maana asee
Did u get my SMS yesterday?...so busiest we jamaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Done....Njoo chemba fasta
😀😀😂😂😂 we mwamba hatari sana!!!Wanawake wote mimi ndiyo hua nawasaliti, naomba namba za waliokusaliti nionyeshane nao kazi
Anakuwa ana matatizo flani huyo, aidha kauvagaa u Dally kimoko au chura hana ama sura mbovu! I dnt prefer walokole in anyways! Natafta ninaendana nae...ulokole sio benchmark kabisa maana wengi ni wanafiki sana!Mkuu wanawake wasio wasali wapo wengi tu,wewe tafuta mwanamke aliyeokoka kwelikweli hawezi kuwa msaliti,hawa ni waaminifu hadi kufa.Sasa ili umpate mwanamke wa aina hiyo inakubidi umwombe Mungu kweli kweli kwa kumanisha.
Hongera sana, watoto wa kiislamu huwa watulivu sana wakishaolewaSijawahi cheat kwenye mahusiano 100%
Jamaa bado mgeni msamehe bure! Kuna transitions zitatokea hapo kuanzia 23-27 hatakaa aamini!Miaka 22 unatoa conclusive statement? Tema mate chini! Unaanza kumfahamu mwanamke akiwa 30+ na uishi naye si chini ya miaka 15.
😀😀😀😀😀 hapa sitii neno! Muda ndio utaongea...naongea kama nguli wa hii michezo!Akifika 26 upo nae njoo nikupe nusu ya mali yangu.
Nimeangalia haraka haraka hapa rafiki zangu wa kiislam walioolewa acha nisicomment kitu[emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana, watoto wa kiislamu huwa watulivu sana wakishaolewa