Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,045
Sidhani kama wapo
Mkuu unabishana na takwimu au unabisha nini sasa?? Hivi hujui kwamba katika kufanya research ni sample kidogo tu hutumika na kutoa matokeo husika??...... ili tujue kwenye familia zetu hapa Tanzania ni zipi zina watoto wa nje siyo lazima kuwapima watanzania wote, bali ni wachache tu na hapo tunapata projection nzima.We unategemea adi mtu kaenda kwa mkemia mkuu maana yake haamini kama mtoto ni wake,
Sa utaconclude na ambapo hamna miss understandings, fikiria kidogo basiii
Yuko mkoa gani?Nina mdogo wangu anaitwa Rebeka, asee dogo anapigwa pu.mbu kinoma kila nikienda na msela home anamshobokea... Wakwangu si msaliti.
aaaah we jamaa unatia ndimu sasa...demu mzuri halafu yupo independent unampata wapi dunia hii ya malijali?Wanawake wa hivyo wapo tele ila ubaya wanakuwaga washamba washamba hivi kitu ambacho walume wengi hawatakagi.
Unachagua demu mjuaji wa kimjinimjini mwisho wa siku anakupelekesha mbaya kabisa yani. Unajikuta umeishia kufumania meseji za njemba ingine.
Mie madem type yangu nachukuaga wale ambao wanaonekana washamba hasa katika jamii, ndo wapogi natural vile navyotaka. Unakuta demu mzuriii ila yupo independent. Hao ndio type yangu!
Kabsaa mkuu kuna vjanaume uwa vina perception fupiHuo ushamba
.
Huo ushamba, mi nilishatoa bikra mabinti saba na leo hii watano kati yao wameolewa, na tukikutana tunaheshiminiana hata hao wawili ambao hawajaolewa, wanajiheshimu na mahusiano yao.
Inategemea na akili za uliyembikiri, kwa sababu hata usingembikiri wewe bado angebikiriwa na mwingine, so hujamfanyia kitu kitu cha ajabu ambacho wengine wasingeweza kumfanyia.
Tanga mkuuYuko mkoa gani?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nani huyo??
Umejadili kivulana sana hizo myth tu,jiulize waliotolewa bikra kwakubakwa inakuaje??Wanaume tuwe na uelewa, kama binti umemkuta hana bikira si wako, xo kuna mwenza wake aliyemtoa bikira na hawezi kumnyima hata ck moja licha ya kuwa haishi naye kamwe, kwa hiyo ukiona kakuacha ujue kapata mwingine kama alivokuja kwako na kumwacha mwanaume mwenzako akiwa na maumivu kama unayoyapata wew, MKE HALISI NI YULE ULIYEMTOA BIKIRA NDUGU wanaume wenzagu, mtoa bikira kwa msichana hasahauriki ata siku moja, maana ndo aliyemwingiza mjini {a.k.a MAHABA} ni sawa na wakala wa mess kumtoa kijijini kwao ARGENTINA hadi BARCELONA
Hahahah mzuri nmekosea man ni mshamba type ila yupo independent hana mambo ya kuiga iga wala hashikwi maskio.aaaah we jamaa unatia ndimu sasa...demu mzuri halafu yupo independent unampata wapi dunia hii ya malijali?
Hapo sawa mkuu, ila wanabadirikaga hao wanakuwa hatari kabisaHahahah mzuri nmekosea man ni mshamba type ila yupo independent hana mambo ya kuiga iga wala hashikwi maskio.
Usione watu wanafanya jubilee za kukaa miaka 30 au 40 kwenye ndoa ukafikiri ni waaminifu sana la hasha sio kwamba hawajawahi kufumaniana..... ni kuvumiliana tu na lazima mmoja ajifanye mjinga ili mdumu, ili ndoa idumu mara nyingi mwanamke ndo mwenye nafasi kubwa hasa akijua tu kuutumia ulimi wake na kichwani akiwa smart hata kama si mwaminifu hiyo ndoa ina nafasi kubwa ya kudumu!!!Wakuu kama wanawake wote ni wasaliti tusingekua na ndoa za miaka 10, 15, 20, 30, 40.
Kusingekua na familia. Wapo wengine wametulia na wanajua wanataka nini.
Kweli ndoa kudumu lazma mmoja awe fala. Mkikutana wote wajuaji bila busara lazma muachane tu!Usione watu wanafanya jubilee za kukaa miaka 30 au 40 kwenye ndoa ukafikiri ni waaminifu sana la hasha sio kwamba hawajawahi kufumaniana..... ni kuvumiliana tu na lazima mmoja ajifanye mjinga ili mdumu, ili ndoa idumu mara nyingi mwanamke ndo mwenye nafasi kubwa hasa akijua tu kuutumia ulimi wake na kichwani akiwa smart hata kama si mwaminifu hiyo ndoa ina nafasi kubwa ya kudumu!!!
Haupo jukwaani vip?unamjua bana acha kunichora
Mimi hapa sio msaliti wala sina tamaa ndogo ndogo labda uniuzi tu ndio nabadilikaHabari yenu,
Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba. Wanawake zaidi ya watatu wote nagundua wasaliti.
Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?
Haupo jukwaani vip?
Still in da office??