sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,746
- 4,352
Safi jamaaa, wacha tuendelee na mada .....Sawa mkuu. Tuendelee na mada yetu pendwa
Safi jamaaa, wacha tuendelee na mada .....Sawa mkuu. Tuendelee na mada yetu pendwa
Kuna kaukweli japo si mara zoteWanawake ni rahisi na kudanganywa na pesa, magari, majumba n.k, hata kama awe mvumilivu kiasi gani mzee kama huna pesa atakuacha Tu.
Yajayo hayafurahishi, hatuko tayari
Duh, kwa mwendo huu ndoa nyingi zitakufa. Muwapo kwenye ndoa migongano ni lazima, lakini kama mtapishana halafu ukakimbilia kutafuta faraja nje, hakika umepungukiwa hekima ya ndoa. Ndio maana sio kila mwanamke anafaa kuwa mke!!
Mwanamke na mwanaume Wana asili tofauti kabisa. Usipoelewa hilo utaishia kunyoosha kidole na ndoa zenu za kisasa ambazo zimethibitika ni unworkable. Chanzo Ni wanaume, fafanuaWanawake waaminifu wapo wengi sana. Ila hata ambao siyo waaminifu chanzo ni nyinyi wanaume.
Mchaga mwenzako? Kwaio kua mchaga nayo ni point?Wa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...
Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.
Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.
usimuwekee mdhamana mwanamke tena wa miaka 22 ambaye hata manyonyo bado yanakuwaWa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...
Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.
Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.
Hii kidogo ni point ya msingi. Swala la pesa ni changamoto ambayo inahitaji utatuzi wa haraka hasa ukipanga kuishi na mwanamke katika mahusiano. Kama huna hela utamuona kila mwanamke msaliti tu maana shida wenzetu hawajuagi kuzivumilia kwa muda mrefu.Wanawake ni rahisi na kudanganywa na pesa, magari, majumba n.k, hata kama awe mvumilivu kiasi gani mzee kama huna pesa atakuacha Tu.
Yajayo hayafurahishi, hatuko tayari
Hongera mkuu, tuombe asishikwe maskio tu huko mbeleni maana utajuta.Wapo wengi sna tena sna
Omba mungu akujaalie mm nilifanikiwa kukutana nae mmoja wala sikupoteza mda nimejiwekea ndani
Kujishusha ukawa chapati full time ndio mbaya, mwanamke ili uende nae sawa unatakiwa kumuwekea hali flani ya kukuogopa hivi. Asipokuogopa ujue umekwisha maana hata order unazotoa atakuwa anazipuuzia tu.Kujishusha kwa mwanamke ni Aina ya udhaifu wa mwanaume na akigundua anakuumiza zaidi maana anajua kabisa anakuweza na huwezi kumuacha ukafanya maiha yako bila yeye.
Nilishawahi kujishusha kwa mwanamke mmoja huko ujanani aiseee alichonifanyia niliapa sitokuja rudia tena kujishusha kwa mwanamke.
Unajua hawa wakat mwengine ni sisi wenyewe ndo tunawafanya wasalitiHongera mkuu, tuombe asishikwe maskio tu huko mbeleni maana utajuta.
Wanawake wa hivyo wapo tele ila ubaya wanakuwaga washamba washamba hivi kitu ambacho walume wengi hawatakagi.Mkuu wanawake wasio wasali wapo wengi tu,wewe tafuta mwanamke aliyeokoka kwelikweli hawezi kuwa msaliti,hawa ni waaminifu hadi kufa.Sasa ili umpate mwanamke wa aina hiyo inakubidi umwombe Mungu kweli kweli kwa kumanisha.
Na huo umri bado ni Mdogo na hajui maisha ni nn mimi nikioa labda awe na miaka kuanzia 27 hivi hapo sawa siwez kuoa Mwanamke Mwenye miaka chini ya 26 au 27 huyu unakuta ameshakuwa vizuri na anajielewa zaidi kuliko chini ya 26Miaka 22 unatoa conclusive statement? Tema mate chini! Unaanza kumfahamu mwanamke akiwa 30+ na uishi naye si chini ya miaka 15.
Asante afs wa ngazi za juu ! haahahahahaAkifika 26 upo nae njoo nikupe nusu ya mali yangu.
Mkuu wewe upo dunia ya wapi?? Takwimu hizi zilitolewa na Mkemia mkuu wa Serikali mwaka jana na mpaka Bungeni pia wakaiongelea hii issue!Huu utafiti umeutoa wap
Mkuu wewe upo dunia ya wapi?? Takwimu hizi zilitolewa na Mkemia mkuu wa Serikali mwaka jana na mpaka Bungeni pia wakaiongelea hii issue!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nani huyo??Mi nilienae si msaliti kabisa nimemtega mara nyingi maana kuna wakati michango yake humu jukwaani Mhhhhh😕😕