Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,046
- 3,049
Hakuna. yani kama hapa Dar mademu utadhani wamefungiwa ile speed governor ya kiberenge
Kaua sana ... mwanamke mzuri unamtengeneza mwenyeweHiyo para ya mwisho u nailed it. Waswahili wana msemo wao ukiona mahusiano yamekaa kwa muda mrefu ujue neno samahani, nisamehe limetumika sana.
Uvumilivu ndio nguzo muhim kabisa
Ndio, mke wangu mimi nimemuos bikra, ni wanawake wachache amsmbao waliolewa hawana bikra waaminifu,hii haimanishi wote walioolewa na bikra waaminifu,huu ndio ukweli mkavu.Habari yenu,
Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba. Wanawake zaidi ya watatu wote nagundua wasaliti.
Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?
Wachaga wengi wana atitude hiyo, hivyo ni wazuri kwa kuolewa.Wa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...
Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.
Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.
Akifika 26 upo nae njoo nikupe nusu ya mali yangu.Wa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...
Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.
Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.
Unawazungumzia wachaga gani? Kama hawa wakina Joyce Kiria na Jackline Wolper au?Wachaga wengi wana atitude hiyo, hivyo ni wazuri kwa kuolewa.
Naona hata waarusha + wamasai hawadanganyiki kiviiile na pesa za watu.
Sijajustify ila nimeligundua hilo.
Akuntombe nan hahaaaa Mkuu badilisha I.d just joking brooWa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...
Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.
Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.
Hapana, nawazungumzia wachaga wengine tofauti na hao.Unawazungumzia wachaga gani? Kama hawa wakina Joyce Kiria na Jackline Wolper au?
Nyokooo weeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna. yani kama hapa Dar mademu utadhani wamefungiwa ile speed governor ya kiberenge
Demiss, huyu maneno matupu Hakuna vitendoHabari yenu,
Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba. Wanawake zaidi ya watatu wote nagundua wasaliti.
Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?