John Cannor
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,463
- 1,827
CRIMINAL
UNLOCKED
WAR DOGS
UNLOCKED
WAR DOGS
Mkuu nikweli inavyoanza hasa season One ni kama inakatisha tamaa, hasa kama unapenda action zaidi, haina mapigano sana, ila kuna mission za kufa MTU........komaa uimalize season One chief.Mkuu wewe km mm nashangaa hata mm watu wanasema nzuri wakati mm hata kuangalia season moja naona shida.
kaangalie fury,private Ryan,we were soldiershiyo kwenye muvi za kivita naipa namba moia labda kwasabb sijaangalia nyingi za kivita
hiyo ipo kwenye foleni nipo na jarhead kwanza kisha hiyo itafuata Asante. Na ile rescuing private sijui nani huko nitazitazama zotekaangalie fury,private Ryan,we were soldiers
Ndo iyo iyo boss hiyo kitu n balaa ina hitaji utulivujaman hivi hiyo homeland ndo ile kuna mwanajeshi anarudi nyumbani baada ya miaka kadhaa ya kupotea? nimejaribu kuitazama mara kadhaa nashindwa kumaliza hata season 1. au ni nyingine tofauti na hiyo?
Mkuu wewe km mm nashangaa hata mm watu wanasema nzuri wakati mm hata kuangalia season moja naona shida.
Huhuhuhuuuu [emoji13] [emoji13] [emoji13]" Daddy is coming" By D. Bashite, hii ni kali sana...
![]()
Kilichonifurahisha ni kuindoa ile familia iliyo mpokea yule askari aliyebaki na kuipeleka USA koz angekuja kuuawa tuuLone survivor nitukio laukweli kbsa kbsa
Jar head tazama ile wapo ktk patrol iraq zile nyungine wamezingua zisikupotezee mudahiyo ipo kwenye foleni nipo na jarhead kwanza kisha hiyo itafuata Asante. Na ile rescuing private sijui nani huko nitazitazama zote
" Daddy is coming" By D. Bashite, hii ni kali sana...
![]()
kwenye fury nampenda sana yule jamaa mwehumwehu aliyelamba mayai ya bint..ule uigizaji sijui unamuongoza vipi!hiyo ipo kwenye foleni nipo na jarhead kwanza kisha hiyo itafuata Asante. Na ile rescuing private sijui nani huko nitazitazama zote
Hii nishaichek ni nzuri!! Kuchukua picha za waliouliwa kwa halaiki kulimponza jamaa alipona kibahat bahat tu!Itafuteni Behind enemy lines