Hivi kuna muvi Kali zaidi ya Bourne identity?

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,262
3,392
Kwa wale wapenzi Wa kuangalia movie!!! binafsi Mi ni mpenzi sana Wa kuangalia movies na nishaangalia nyingi sana ila bado cjakutana na movie Kali kuliko series za bourne ,ukianzia identity yenyewe ultimately na Bourne legacy ...je ushakutana na movie Kali kuliko zote km IPO hebu share hapa
 
" Daddy is coming" By D. Bashite, hii ni kali sana...

9254109be39b96c3918ba43b681ba5af.jpg
 
Chief inategemea unapenda Movie za aina gani, bila movie nzuri ni nyingi sana.......hizo ulizozitaja ni haina Fulani ya uspy........nyingine za aina hiyo ambazo binafsi nimezipenda kuna hii mpya ATOMIC BLONDE, kuna nyingine inaitwa NO ESCAPE hii ni ya mwaka 2015, kuna KNIGHT ANS DAY ya Tom Cruize na Cameroun Diaz........hapo INA comedy lakini full Action, pitia pia 24hrs to live nayo ni mpya Fulani 2017..........halafu sasa tafuta HOMELAND hii ni Series........kama ni upepelezi basi umejaa humu......pitia pia movie inaitwa FLIGHT PLAN ya mwanadada Jodie Foster.........
 
Hiyo No escape ndio muvi kali zaidi duniani ambayo staring wake hajui kupigana...
 
Jaribu pia rundown ya the Rock, diamonds are forever na spy who loved me zote za James Bond, marksman ya wesley snipes, the little man ya marlon wayans etc
 
Chief inategemea unapenda Movie za aina gani, bila movie nzuri ni nyingi sana.......hizo ulizozitaja ni haina Fulani ya uspy........nyingine za aina hiyo ambazo binafsi nimezipenda kuna hii mpya ATOMIC BLONDE, kuna nyingine inaitwa NO ESCAPE hii ni ya mwaka 2015, kuna KNIGHT ANS DAY ya Tom Cruize na Cameroun Diaz........hapo INA comedy lakini full Action, pitia pia 24hrs to live nayo ni mpya Fulani 2017..........halafu sasa tafuta HOMELAND hii ni Series........kama ni upepelezi basi umejaa humu......pitia pia movie inaitwa FLIGHT PLAN ya mwanadada Jodie Foster.........
Kaka umemaliza. Binafsi spy movie ndio kitu napenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom