chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,538
Ni Liam Neeson...IPO."TAKEN" kacheza Bingwa mmmoja anaitwa liam nelson ni nyoko
Huyo mzee ni zaidi ya noma.
Mimi ile muvi yake ya "UNKNOWN" mpaka sasa ndio the best kwangu.
Mzee anajua.
Ni Liam Neeson...IPO."TAKEN" kacheza Bingwa mmmoja anaitwa liam nelson ni nyoko
Hii ndio iliongoza nadhan
Asante mkuuu kumbe unamjua huyo bwanaNi Liam Neeson...
Huyo mzee ni zaidi ya noma.
Mimi ile muvi yake ya "UNKNOWN" mpaka sasa ndio the best kwangu.
Mzee anajua.
jaman hivi hiyo homeland ndo ile kuna mwanajeshi anarudi nyumbani baada ya miaka kadhaa ya kupotea? nimejaribu kuitazama mara kadhaa nashindwa kumaliza hata season 1. au ni nyingine tofauti na hiyo?Chief inategemea unapenda Movie za aina gani, bila movie nzuri ni nyingi sana.......hizo ulizozitaja ni haina Fulani ya uspy........nyingine za aina hiyo ambazo binafsi nimezipenda kuna hii mpya ATOMIC BLONDE, kuna nyingine inaitwa NO ESCAPE hii ni ya mwaka 2015, kuna KNIGHT ANS DAY ya Tom Cruize na Cameroun Diaz........hapo INA comedy lakini full Action, pitia pia 24hrs to live nayo ni mpya Fulani 2017..........halafu sasa tafuta HOMELAND hii ni Series........kama ni upepelezi basi umejaa humu......pitia pia movie inaitwa FLIGHT PLAN ya mwanadada Jodie Foster.........
ahahhaah alikua anatumia nini ngoja nikachek trelaaaHiyo No escape ndio muvi kali zaidi duniani ambayo staring wake hajui kupigana...
ni hiyo ya 2001?Ipo, The pearl harbor.
Movie za huyo jamaa zote ni moto wakuotea mbaliii.... Babu huyo anatoa kipondo sijawahi onaIPO."TAKEN" kacheza Bingwa mmmoja anaitwa liam nelson ni nyoko
Uyo babu na steven seagal nani mkali ?Asante mkuuu kumbe unamjua huyo bwana
kumbe mna mambo mazuri kiasi hiki ila mlikua mmeuchuna tu naanza na hiyo ALLIED NITAFUATA ZINGINE.
- The Hunted (2003 film)
- Hunted TV Series (2013)
- The November Man
- Salt (2010 film)
- The Company (TV Mini-Series 2007– )
- Bridge of Spies (2015)
- Traitor (2008)
- Allied (2016)
- The Foreigner (2017)
- Munich (2005)
- The Night Manager (2016)
- Bastille Day (2016)
- The Shadow Line (2011)
- The Last panthers (2015)
- Tinker Tailor Soldier Spy (2011)
- Our Kind of Traitor (2016)
- Page eight (2011)
- Turks & Caicos TV series (2011)
- Salting TV series (2011)
- Despite the Falling Snow (2016)
- Cleanskin (2012)
- Drone (2017)
- Eye in the Sky (2015 film)
bonge moja la muvi hiyo no escapeHiyo No escape ndio muvi kali zaidi duniani ambayo staring wake hajui kupigana...
🙂🙂🙂kumbe mna mambo mazuri kiasi hiki ila mlikua mmeuchuna tu naanza na hiyo ALLIED NITAFUATA ZINGINE.
Babu anajuaUyo babu na steven seagal nani mkali ?
hatar sanaIPO."TAKEN" kacheza Bingwa mmmoja anaitwa liam nelson ni nyoko