Hivi kuna muvi Kali zaidi ya Bourne identity?

jaman hivi hiyo homeland ndo ile kuna mwanajeshi anarudi nyumbani baada ya miaka kadhaa ya kupotea? nimejaribu kuitazama mara kadhaa nashindwa kumaliza hata season 1. au ni nyingine tofauti na hiyo?
Ndio hiyo hiyo Mkuu.........
 
" Daddy is coming" By D. Bashite, hii ni kali sana...

9254109be39b96c3918ba43b681ba5af.jpg
hahahahahahahahahahahaha uwii you made my day
 
Ile movie ya Ray ambayo yupo kijijini nzuri kweli sijapata kuona Hollywood wataiga sana.
 
jaman hivi hiyo homeland ndo ile kuna mwanajeshi anarudi nyumbani baada ya miaka kadhaa ya kupotea? nimejaribu kuitazama mara kadhaa nashindwa kumaliza hata season 1. au ni nyingine tofauti na hiyo?
Mkuu wewe km mm nashangaa hata mm watu wanasema nzuri wakati mm hata kuangalia season moja naona shida.
 
jaman hivi hiyo homeland ndo ile kuna mwanajeshi anarudi nyumbani baada ya miaka kadhaa ya kupotea? nimejaribu kuitazama mara kadhaa nashindwa kumaliza hata season 1. au ni nyingine tofauti na hiyo?
Hii Homeland ilinishinda. I am a movie/series adict hasa action na mambo ya upelelezi like 24Hrs, but Homeland ilinishinda series 1
 
tupo pamoja nimeijaribu mara nyingi kupata huo ukali wanaousema nimeshindwa kabisa
 
Back
Top Bottom