ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,867
- 39,857
Au unakuta kabisa kidume anakula Mhindi wa kuchoma anaweka chumvi na limauHuwa nachoka nikiona mtu mzima anakula vichwa vya kuku
Au unakuta kabisa kidume anakula Mhindi wa kuchoma anaweka chumvi na limauHuwa nachoka nikiona mtu mzima anakula vichwa vya kuku
Kuna watu wanakula utumbo bwana😁😁😁sisi tumekua tunajua utumbo wa kuku hauliwi.Huwa nachoka nikiona mtu mzima anakula vichwa vya kuku
Duuuh Sasa kuku ana utumbo Gani?Kuna watu wanakula utumbo bwana😁😁😁sisi tumekua tunajua utumbo wa kuku hauliwi.
Hujafika huku kwetu Umasaini ndani-ndani au tuseme vijijini. Hiyo ni kawaida sana. Kama hutaki kupanda mshikaki wa ivo kanunue pikipiki yako upande mwenyewe. Boxer 150 inabeba abiria 4 - 5.Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.
Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao
Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maadili
Mwanamke akae katikati, kama vipi boda abebe abiria mmoja.Kikubwa mwanamke asikae katikati.
Kwa nini?Kikubwa mwanamke asikae katikati.
Na kama dereva ni Ke?Mwanamke akae katikati, kama vipi boda abebe abiria mmoja.
Wamebakiza kula na manyoya tuDar imejaa laana
Kama mtu na akili zake anaamua kula utumbo na makongoro ya kuku.
Njome Ipi hiyo? Labda Lupembe.Huyu jomba katokea njombe tusimshangae sana
Mimi nahudhuria Kitambaa cheupe kila weekend.Na hapo bado sasa hujaambiwa story za huko kwenye vitambaa vyeupe, watu wanagongana live! Unaambiwa ukienda dar, nenda wew kama wew akili utazikuta huko!
Wewe naye unashangaa vitu vya hovyo.Inasikitisha sababu umeshangaa kitu kidogo sana mpaka uituhumu Dar. Kuna vitu huko ukijionea si utasimulia ukoo? 😁😁😁
Mimi nlishangaa Iringa bajaji imebeba watu wa4[watatu nyuma, mmoja mbele na dereva], halafu ikawa inatafuta abiria mwingine.
Kumbe na seat ya dereva nayo inabeba abiria wawili na dereva anakuwa wa3😁😁😁
Ila zipo bar zina uchafu ,kuna ngoma zinaitwa kibao kata, ukizipata kwenye hizo bar ukiona yanayafnyika utashangaa snaMimi nahudhuria Kitambaa cheupe kila weekend.
Sijawahi kuona wahuni wakilombana live. Wewe uliwaona wapi?
Bora Lupembe, huyo itakuwa Muhaji.Njome Ipi hiyo? Labda Lupembe.
Hizo kibao kata huwa naona mambo yao kwenye video za twitter, naishia kubaki mdomo wazi.Ila zipo bar zina uchafu ,kuna ngoma zinaitwa kibao kata, ukizipata kwenye hizo bar ukiona yanayafnyika utashangaa sna
Wenzenu huku tunatengewaKuna watu wanakula utumbo bwana😁😁😁sisi tumekua tunajua utumbo wa kuku hauliwi.
Dah! Inashangaza kwel-kweli. Hivi haiwezekani kumwona Ke kama mtu/Binadamu wa kawaida na kumheshimu bali kila unapomwona Ke unafikiria habari ya Ngono tuu? Hivi shuleni, Kanisani, kwenye Vikao au Mikutano ya hadhara, wakihudhuria Ke na ww ukabahatika ukawepo, itakuwa husikilizi kinachoendele bali unajikita kwenye kukagua sketi tu???!Kuna siku nime msinidkia mtu naheshimiana nae sana kitu cha bajaji, ghafla ikatokea boda imepaki mdada akaanza niaga akae nyuma ya yule dada, nika mkata jicho hadi akajishitukia akaanza kujiongelesha mala alafu kweli huyo ni mwanamke haifai nikala bati .. Watu watakuja ingia kwenye changamoto za kuhusi wanachepuka na wake za watu na hizo mambo za mishikaki ua jinsia tofauti

You berra watch your back
Mwanaume akae katikati.Na kama dereva ni Ke?