DOKEZO Barabara ya Kijiji cha Mipeko, Mkuranga ni mbovu sana. Viongozi wetu mko wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Pwani, napatikana Kijiji kinaitwa Mipeko ambacho kipo Wilayani Mkuranga karibu na Mbande ya Mbagala ya Dar es Salaam, hali yetu ya usalama wa Barabara ni mbaya.

Barabara za kwetu ni mbovu sana, Wananchi tunapata shida sana, kuna kipindi tulichanga hela lakini Viongozi wa Kijiji wakala hela na barabara bado haikujengwa.

Tunaomba Msaada katika hili ili watu wasiendelee kufa na kupata shida, maana mpaka sasa Wamama Wajawazito wana jifungulia njiani kwa ubovu wa njia.
 
Huku mwendokasi shida tunakaa mda mrefu kituoni huku barabara mbovu na hii ni 2024, hizi changamoto zilipaswa ziwe kabla hatujapata uhuru
 
Back
Top Bottom