Nasoma mama la smart , kuna kazi nilitakiwa niwasilishe hivyo kutia tungi noma 🤣 tatizo sio pesa ya mimi kulewa🤣Koziweki ndokitu Gani tena!! ??? Lanne D sielewi kitu hata
UMeelewa topic ya member ..? Anataka kuacha pombe ila kama anashindwa. Vp kasome tena mkuuNinafanya mazoezi nakula matunda na pombe nakunywa weka picha ya mwili wako hapa na mimi niweke kama mlevi🤣🤣 tuone mwenye afya njema
Kumbe koziweki ni mambo za kusoma lol! Santo sana kwa mwongozo!Nasoma mama la smart , kuna kazi nilitakiwa niwasilishe hivyo kutia tungi noma 🤣 tatizo sio pesa ya mimi kulewa🤣
Asome ushauri wa watu wenye akili bwasheeUMeelewa topic ya member ..? Anataka kuacha pombe ila kama anashindwa. Vp kasome tena mkuu
Kitu chochote ukiacha ghafla lazima mwili upate mukhkeri kidogo Ila utazoea.. nliacha wali,ugali,mafuta ya mbegu nk Yani haikua rahisi aiseeMambo vipi wadau?
Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?
Kama tu bongo vyeti vyangu ni visafi nafasi ya kwanza kabisa., wewe unahisi mimi kunywa pombe mama yangu mzazi atawaza?🤣🤣 kwanza yeye mwenyewe kichwa cha ashira now yupo 78 🤣🤣🤣Kumbe koziweki ni mambo za kusoma lol! Santo sana kwa mwongozo!
Pombe haivurugi Masomo kweli??
Hao wana watatu walipokuletea barua kabisa ya kwenda kunywa pombe ulienda au uliwapuuzia?poa poa maana hapa nimeshapigika na homa ,na usiku ndoto kibao ata 10 na nyingine za kijinga kuna moja nimeota watu watatu wameniletea barua niende kwenye pombe ni balaa aisee hapa nilipo misuli ya mwili sielewi elewi
NiliendaHao wana watatu walipokuletea barua kabisa ya kwenda kunywa pombe ulienda au uliwapuuzia?
Ahaha😃😃😃sureMadhara ni kuwa mmbea na mnafki🤣
Kabisa wa kwetuAhaha😃😃😃sure
Kwa sababu walevi wako real
Kuvywa Divai mkuu acha uoga Dunia sio yako hii ooohooo.Mambo vipi wadau?
Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?
Tatizo naweza kukaza na kufanikiwa fresh. Ila baada ya wiki kadhaa tangu kufanikiwa najikuta nmeingia timu tena kwa kasi na ari zaidi.Utateseka siku 3 mpaka wiki. Baada ya hapo uta recover. Kunywa maji, juice, chakula kilaini, kula kwa awamu kidogo kidogo, pata mda wa kupumzika. Utakosa usingizi kwa siku kadhaa za mwanzo, hutaweza kula vizuri, mapigo ya moyo, etc, mwili utakua hovyo in short.Ukikaza siku nlizotaja hapo juu utatoboa mkuu. Niamini mimi
Kwa sasa unatumia mafuta gani?Kitu chochote ukiacha ghafla lazima mwili upate mukhkeri kidogo Ila utazoea.. nliacha wali,ugali,mafuta ya mbegu nk Yani haikua rahisi aisee