Madhara ni kuwa mmbea na mnafki🤣
Umenusurika kifo kivipi. Nionyeshe walioacha 1870 au ambao hawakunywa kabisaUkifanikiwa,umenusurika kifo
KwendaaaACHA mkuu HAINA inshu HIYO LABDA ka unapiga mara MOJA MOJA nayo zisizidi mbili mkuu familia nyingi zmesambaratika KISA pombe
Ninafanya mazoezi nakula matunda na pombe nakunywa weka picha ya mwili wako hapa na mimi niweke kama mlevi🤣🤣 tuone mwenye afya njemaFanya mazoezi kula matunda sana na epuka kuwaza na kutembelea vijiwe vya pombe. Chagua kitu kingine mbadala
Walokole wajinga sana
Nami niliacha pombe ghafla baada ya kupata kashfa babkubwa itokanayo na kilevi.Mambo vipi wadau?
Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?
Weee walokole wameingiaje hapaa???🤔Walokole wajinga sana
Nisamehe madam ni pombe tu😊Weee walokole wameingiaje hapaa???🤔
Umepata wapi za kulewea na weekend ijayo haijafika???Nisamehe madam ni pombe tu😊
Nalewa mda wote ni swala la kujizuia tu mtoto mzuriUmepata wapi za kulewea na weekend ijayo haijafika???
Jana Nikataka kushangaa! AsavaliNalewa mda wote ni swala la kujizuia tu mtoto mzuri
Sema jana nilikua na kozi wekiii ningezinguaaa😆Jana Nikataka kushangaa! Asavali
Koziweki ndokitu Gani tena!! ??? Lanne D sielewi kitu hataSema jana nilikua na kozi wekiii ningezinguaaa😆