Mwamba 3
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 253
- 281
Duh! Wewe ndiyo uko nyuma kabisa na maarifa haya . Roman Empire - Ni mnyama mwenye jeraha la mauti ( kuanguka kwake ) . Roman Catholic Church - Jeraha la mauti la Roman Empire limepona , mnyama kaibuka kwa namna nyingine tu ( RC Church ) lakini mipango ni ile ile ya karne na karne ilimradi mpango wa yule joka mkubwa yule joka wa zamani itimie (Mipango hii hiyo imeshatimia kwa kiwango kikubwa sana ) .Roman empire imekufa miaka elfu kadhaa wewe unaiongelea leo. Nani alikwambia kanisa la Roma ni Roman empire? Em tafuta vitabu usome