Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,920
2,000
Katika pitapita zangu nilikutana na mjadala kuhusu maswala kuhusu Marekani na utawala wa Roman empire ndani ya kanisa katoliki.

Wapo wengine wanafikia hatua wanasema kiongozi yoyote au rais yoyote ambae anaenda kinyume na itikadi za Roman anaweza ondolewa au kuuawa.

Wapo wanaosema Roman katoliki chini ya Roman ndio ana nguvu ya kutawala dunia na wengine wanasema Marekani ndio baba wa dunia

Hebu wana JF naombeni mawazo yenu kuhusu utawala wa Roman empire katika hii dunia na Marekani.
 
MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,540
2,000
ROMAN EMPIRE NDO BABA WA DUNIA YEYE NDIO KACHORA RAMANI YA DUNIA .

NA ANAITWALA DUNIA KUPITIA ROMAN KATOLIKI AMBAO NDIO SUPER POWER WA DUNIA YA LEO
NDIO MAANA KILA KINACHOFANYIKA DUNIANI KINA MKONO WA ROMAN EMPIRE.

HATA HUU MWAKA MPYA TUNAUSHEREKEA LEO HII TUNAUSHEREKEA KWA SABABU TUNAFATA CALENDER YA ROMAN KATOLIKI
 
mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,341
2,000
Katik Pitapita zangu nilikutana na mjadala kuhusu maswala kuhusu MAREKANI NA UTAWALA WA ROMAN EMPIRE NDANI YA KANISA KATOLIKI .

WAPO WENGINE WANAFIKIA HATUA WANASEMA KIONGOZI YOYOTE AU RAISI YOYOTE AMBAE ANAENDA KINYUME NA ITIKADI ZA ROMAN ANAWEZA ONDOLEWA AU KUUWAWA.

WAPO WANAOSEMA ROMAN KATOLIKI CHINI YA ROMAN NDIO ANA NGUVU YA KUTAWALA DUNIA
NA WENGINE WANASEMA MAREKANI NDIO BABA WA DUNIA

HEBU WANA JF NAOMBENI MAWAZO YENU KUHUSU UTAWALA WA ROMAN EMPIRE KATIKA HII DUNIA NA MAREKANI
.
Kuna ukweli juu ya hili la Roman Empire ndio hao hao roman Catholic tangu zamani kumbuka story ya Mfalme Henry wa uingereza alitaka kuoa mke wa pili akaomba kibali kwa papa akamtosa akaruhusu bible itafsiriwe kwa lugha tofauti na kilatini kilichompata alikiona

Huo ni mfano mmoja ila Roman Empire ipo imevaa koti la kidini na ndio wanaopanga watawala duniani
 
C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,920
2,000
Kuna ukweli juu ya hili la Roman Empire ndio hao hao roman Catholic tangu zamani kumbuka story ya Mfalme Henry wa uingereza alitaka kuoa mke wa pili akaomba kibali kwa papa akamtosa akaruhusu bible itafsiriwe kwa lugha tofauti na kilatini kilichompata alikiona

Huo ni mfano mmoja ila Roman Empire ipo imevaa koti la kidini na ndio wanaopanga watawala duniani
Na vipi kuhusu nguvu za kidunia na kijasusi
 
zhang laoshi

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
334
500
Ni uzi mzuri sn unataka details za kina but kwenye hii dunia c kila tukionacho ndo kilivyo, kuna Siri nyingi Na wanazozijua Ni wachache ili watutawale, Roman wana power Na Ni mjasusi kitambo ili watawale dunia huwa wanatumia viongoz wa kisiasa wafanye wanayotaka hata Bible iliwatabiri...
 
C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,920
2,000
Ni uzi mzuri sn unataka details za kina but kwenye hii dunia c kila tukionacho ndo kilivyo, kuna Siri nyingi Na wanazozijua Ni wachache ili watutawale, Roman wana power Na Ni mjasusi kitambo ili watawale dunia huwa wanatumia viongoz wa kisiasa wafanye wanayotaka hata Bible iliwatabiri...
Mkuu naomba nikuulize swali ivi unataka kuniambia SERIKALI YOYOTE PALE DUNIANI ILIPO.

HUWA INA UHUSIANO GANI NA KANISA LA ROMA
 
zhang laoshi

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
334
500
Mkuu naomba nikuulize swali ivi unataka kuniambia SERIKALI YOYOTE PALE DUNIANI ILIPO.

HUWA INA UHUSIANO GANI NA KANISA LA ROMA
Huwa kuna michezo wanafanya mfano, US anaenda sambamba Na matakwa ya Roma katika kulinda interest zao, Roma hawez kwenda nchi za kiarabu Kama Saudi Arabia ili apande mbegu zake sababu italeta religion conflict , so atamtumia Nani? Lazima nchi za ulaya including US wafanye hiyo mishe, huku nchi zikijua zinafanya Na US huku zikitekeleza interest za Pope Na US or European countries , ndo mana Ni kiongoz wa dini ila akija katika nchi anapokewa kisiasa ( kiserikali)
 
Kiongozi upo vIzuli sana lakini naomba kukuuliza ivi kuna tofauti gani kati ya ROMAN EMPIRE NA KANISA KATOLIKI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom