Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

Roman empire imekufa miaka elfu kadhaa wewe unaiongelea leo. Nani alikwambia kanisa la Roma ni Roman empire? Em tafuta vitabu usome
Duh! Wewe ndiyo uko nyuma kabisa na maarifa haya . Roman Empire - Ni mnyama mwenye jeraha la mauti ( kuanguka kwake ) . Roman Catholic Church - Jeraha la mauti la Roman Empire limepona , mnyama kaibuka kwa namna nyingine tu ( RC Church ) lakini mipango ni ile ile ya karne na karne ilimradi mpango wa yule joka mkubwa yule joka wa zamani itimie (Mipango hii hiyo imeshatimia kwa kiwango kikubwa sana ) .
 
NAFIKIRI kupitia Uzi HUU wa LEO, nimeamini wapo baadhi ya wanaojiita wasabato masalia Ni SHIDA MNO, wana uelewa mdogo KHS biblia, watajaribu kuongelea chuki zao kwa kujaribu kutumia biblia in a wrong interpretation kuzungumzia mawazo ya mwanzilishi wa dhehebu lao anaitwa G. White KUHUSU uelewa wake finyu wa ukatoriki
 
Mungu akuhurumie sana, haujui ulitendalo, hivi unaweza kutuambia haya uyasemayo ww yameandikwa wapi? Au ni mawazo yako tu?
 
Kuna ukweli juu ya hili la Roman Empire ndio hao hao roman Catholic tangu zamani kumbuka story ya Mfalme Henry wa uingereza alitaka kuoa mke wa pili akaomba kibali kwa papa akamtosa akaruhusu bible itafsiriwe kwa lugha tofauti na kilatini kilichompata alikiona

Huo ni mfano mmoja ila Roman Empire ipo imevaa koti la kidini na ndio wanaopanga watawala duniani
Kwenye Bunge la Ulaya pale Ubeleji kuna "Mbunge" anayekalia kiti namba "666" lakini jina lake na nchi anayotoka huwa havitajwi!
 
Marekani avamie zimbabwe anatafuta nini?
Hata kibri ya Robart Mogabe alikuwa akikitoa Roma kwa sbb 90% ya Wazimbabwe ni waroma na yy ni mroma masalia. Tofauti na ya Sadam na Gadafi yangekuwa yashamfika siku nyingi. Roma ni zaidi ya uijuavyo
 
Roma empire ilinguka tiari ikachukuliwa na marekani na wingereza ndiyo watawala wa mwisho kabla mungu hajahukumu mfumo huu wa ibilis shetani
Katika pitapita zangu nilikutana na mjadala kuhusu maswala kuhusu Marekani na utawala wa Roman empire ndani ya kanisa katoliki.

Wapo wengine wanafikia hatua wanasema kiongozi yoyote au rais yoyote ambae anaenda kinyume na itikadi za Roman anaweza ondolewa au kuuawa.

Wapo wanaosema Roman katoliki chini ya Roman ndio ana nguvu ya kutawala dunia na wengine wanasema Marekani ndio baba wa dunia

Hebu wana JF naombeni mawazo yenu kuhusu utawala wa Roman empire katika hii dunia na Marekani.
 
Embu acheni hadithi za maskani ROMAN EMPIRE ndio nini .. iko wapi hiyo EMPIRE?
 
Roman empire imekufa miaka elfu kadhaa wewe unaiongelea leo. Nani alikwambia kanisa la Roma ni Roman empire? Em tafuta vitabu usome
Roma ni nchi ndani ya nchi,ila ndio watunga sera za dunia,ile sio taasis ya dini tu bali ni nchi kamili ndio maana karibia kila chini wana mabarozi wao,mfano kuna ubarozi wa Italy na ubarozi wa Vatican,ni wakusanya taarifa(Inteligency) wazuri sana duniani kote,ukusanyaji taarifa unaanzia chini kabisa huku mitaani kwenye JUMUIYA zao
 
Mkuu tunaongelea Roman Empire, vipi we unaongelea nini? Unajua Rome Italy sio Roman Empire?
 
Basi sawa
5.jpeg
 
Back
Top Bottom