Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

Hivi kuna kitu kinaitwa American empire

?????
Ndio.Inaelekea wewe sio msomaji mzuri.Kama kulikuwa na British Empire,American empire ipo.
Definition ya empire ni,"an extensive group of states or countries ruled over by a single monarch, an oligarchy, or a sovereign state." Sasa mkuu si wazi kabisa kwamba America inaitawala dunia.Inaweza ikawekea mtu au nchi vikwazo,inalazimisha nchi zingine kufanya inavyotaka,inaondoa viongozi wa nchi zingine isio wataka nk.nk.,ndio maana imeitwa empire.
 
Katika pitapita zangu nilikutana na mjadala kuhusu maswala kuhusu Marekani na utawala wa Roman empire ndani ya kanisa katoliki.

Wapo wengine wanafikia hatua wanasema kiongozi yoyote au rais yoyote ambae anaenda kinyume na itikadi za Roman anaweza ondolewa au kuuawa.

Wapo wanaosema Roman katoliki chini ya Roman ndio ana nguvu ya kutawala dunia na wengine wanasema Marekani ndio baba wa dunia

Hebu wana JF naombeni mawazo yenu kuhusu utawala wa Roman empire katika hii dunia na Marekani.
Marekani na Roman catholic ni wanategemeana au wanasupportiana.
Soma kitabu cha ufunuo sura ya 13. Hapo utakutana na wanyama wawili wanaongelewa. Na tafsiri ya mnyama kwenye unabii wa biblia ni utawala
mmoja anayetokea nchi kavu ni marekani na anayetokea baharini ni romani catholic.
Soma hicho kitabu utaona jinsi wanavyohusiana
 
Unaposema Roman Catholic church unazungumza kanisa lilopo pale Roma kama unaposema kanisa la Mt. Joseph (DSM). Hivyo Kanisa la Roma ni sehemu tu ya kanisa Katoliki kama ilivyo kanisa la Mt. Joseph (DSM). Hivyo msichanganye mambo.

Cha ajabu unaweza kumsikia mtu anasema anasali kanisa la Roma pale Magomeni badala ya kanisa Katoliki Magomeni. Hii wala haiingii akilini.

Wakati mwingine mtu anapojaza fomu sehemu ya dhehebu anaandika Roman Catholic (RC) badala ya Catholic.
Ulitaka iitwe Vijibweni Catholic?
 
Roman Empire ametawala sehemu kubwa ya Ulaya

Uingereza ametawala sehemu kubwa ya dunia.
 
Ndio.Inaelekea wewe sio msomaji mzuri.Kama kulikuwa na British Empire,American empire ipo.
Definition ya empire ni,"an extensive group of states or countries ruled over by a single monarch, an oligarchy, or a sovereign state." Sasa mkuu si wazi kabisa kwamba America inaitawala dunia.Inaweza ikawekea mtu au nchi vikwazo,inalazimisha nchi zingine kufanya inavyotaka,inaondoa viongozi wa nchi zingine isio wataka nk.nk.,ndio maana imeitwa empire.
Nini maana ya "ruled by a single monarch"

Na utuambie monarch wa marekani ni nani
 
Katika pitapita zangu nilikutana na mjadala kuhusu maswala kuhusu Marekani na utawala wa Roman empire ndani ya kanisa katoliki.

Wapo wengine wanafikia hatua wanasema kiongozi yoyote au rais yoyote ambae anaenda kinyume na itikadi za Roman anaweza ondolewa au kuuawa.

Wapo wanaosema Roman katoliki chini ya Roman ndio ana nguvu ya kutawala dunia na wengine wanasema Marekani ndio baba wa dunia

Hebu wana JF naombeni mawazo yenu kuhusu utawala wa Roman empire katika hii dunia na Marekani.
Otoman empire ndio ilikua dola kubwa kuliko zote na ilitawala mabara3
 
Katika pitapita zangu nilikutana na mjadala kuhusu maswala kuhusu Marekani na utawala wa Roman empire ndani ya kanisa katoliki.

Wapo wengine wanafikia hatua wanasema kiongozi yoyote au rais yoyote ambae anaenda kinyume na itikadi za Roman anaweza ondolewa au kuuawa.

Wapo wanaosema Roman katoliki chini ya Roman ndio ana nguvu ya kutawala dunia na wengine wanasema Marekani ndio baba wa dunia

Hebu wana JF naombeni mawazo yenu kuhusu utawala wa Roman empire katika hii dunia na Marekani.
HABARI,
Roman na Us hawa wote wanafanya kazi pamoja na kwa kutegemeana,Marekani wakati anajizatiti kutawala Dunia kiuchumi alikuwa anapata taarifa nyingi toka kwa mapadri wa kiroma kutoka ulimwengu mzima na yeye ndio alikuwa anawalinda huko Roman inawategemea US kiulinzi na makampuni mengi ya marekani yanafanya biashara kubwa kama za madini n.k kupitia taarifa za roman nao ndio wanahisa zao huko.Mfano mdogo uchanguzi wa DRC uliopita roman waliingilia sana kwa kuwa hawakutaka kabila aendelee kwani anawabana sana kwenye biashara zao hasa za madini.

LUMUMBA
 
Back
Top Bottom