Hivi JK kasha rudi nchini?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakuu,mara ya mwisho kuckia habari za huyo mheshimiwa,nlickia yuko anahudhuria kikao cha UNO huko new york nchini marekani..hiv aliisha rudi nchini au ameamua kuendelea na ziara nyingne ya kikazi huko huko kwa Obama??
 
nenda ukapimwe akili UNO ni nini?
 
Unataka kumlipua kama amesharudi? Au ukiambiwa mkuu amerudi ina impact gani kwako?
 
Wakuu,mara ya mwisho kuckia habari za huyo mheshimiwa,nlickia yuko anahudhuria kikao cha UNO huko new york nchini marekani..hiv aliisha rudi nchini au ameamua kuendelea na ziara nyingne ya kikazi huko huko kwa Obama??

Arudi kufanya nini? Kuna nini asipokuwepo hakitafanyika. Wacha abembee, ale raha, wakati ndio huu
 
nenda ukapimwe akili UNO ni nini?

sa cjui me na wewe nani wa kupimwa akili,kama wewe ni graduate afu hujui wat is UNO,hustahli hata kuwa humu jf.
 
Arudi sa hz ana kichaa? Aliacha mtoto wa kunyonya hapa kwani? Mpaka october ndo anarudisha nazi yake hapa.
 
wee mama wa kichaga uyo ni kiongozi wetu na ni lazima tumuulizie,habari za nnden kun mbyoo uko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…