Wakuu,mara ya mwisho kuckia habari za huyo mheshimiwa,nlickia yuko anahudhuria kikao cha UNO huko new york nchini marekani..hiv aliisha rudi nchini au ameamua kuendelea na ziara nyingne ya kikazi huko huko kwa Obama??
nenda ukapimwe akili UNO ni nini?

Arudi kufanya nini? Kuna nini asipokuwepo hakitafanyika. Wacha abembee, ale raha, wakati ndio huu
sa cjui me na wewe nani wa kupimwa akili,kama wewe ni graduate afu hujui wat is UNO,hustahli hata kuwa humu jf.
c ni kiongozi wa taifa langu,so nina haki ya kujua alipo muda wote?
Arudi sa hz ana kichaa? Aliacha mtoto wa kunyonya hapa kwani? Mpaka october ndo anarudisha nazi yake hapa.