Wapo kibao...kwanza kuna wife material mmoja soon atamfanya my current wife material kuwa zilipendwa!
aah wapi!!! mkono wa waifu matirio lazima uwe na sugu kwa kusugua masufuria na kufua...huo mkono laini haujui hata kuosha kikombe.
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...
mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent
Usiishie kwenye post tafadhali. . . . .Nimekupenda bure kwenye hii post
Viol I hope utakua umeelewa kitu,wanawake wa jf ndio hao hao wa mitaani
Kwani wewe hufaham mtu live toka JF?Natangaza rasmi kuama kambi...nilidhani utani tu wa JF kumbe mnajuana hadi kitaani!!!
Hahahaaa waambie unavyofaudu kuwa na waifu kama mimi
kwahiyo equality mnakuja kutafuta JF kutumia ID fake in reality mmeshindwa
Hahahaaa waambie unavyofaudu kuwa na waifu kama mimi
Nahisi sioni vizuri
Aaah...hapa nimejishikiza tu...wewe ukipokea maombi yangu utakuwa ndo njia kuu na Mokoyo atakuwa kidumu
Ntuzu naomba miwani yanguTeh teh kavaepo miwani
Na vidumu tena? Mimi naingia jumla sasa kidumu cha nini tena?
Mi ndio maana sikupendi
Kidumu muhimu yakhee....just in case teh
Aaah...hapa nimejishikiza tu...wewe ukipokea maombi yangu utakuwa ndo njia kuu na Mokoyo atakuwa kidumu