Warren.T
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 900
- 318
We nawe!!!
Mimi niko vizuri kwenye kufuatilia,ndo maana nilikuwa naomba ile kazi ya bodyguard kule,ningeipata wala usingekuwa unachepuka kirahisi hivi!!
We nawe!!!
Umeanza!!.....hivi hujui kabisa kuwa kuchepuka ni hatari kwa usalama wa maisha yako???
Mimi niko vizuri kwenye kufuatilia,ndo maana nilikuwa naomba ile kazi ya bodyguard kule,ningeipata wala usingekuwa unachepuka kirahisi hivi!!
Mimi niko vizuri kwenye kufuatilia,ndo maana nilikuwa naomba ile kazi ya bodyguard kule,ningeipata wala usingekuwa unachepuka kirahisi hivi!!
Mkuu namuona kama kawaida yake
Mkuu huyu mwanamke sijui ana mapepo gani,tufanye mpango tumfanyie maombi kaka!
Umechagua fungu jema
Umechagua fungu jema
Sio kwamba unachekelea kimoyomoyo foleni imepungua?
Hapana Mkuu nipo serious
Sawa ila nilikuwa namuuliza huyo anayekupongeza
Jamani.... Viol kapigwa ban...ni post hiihii au kuna mengine?
Apigwe tuu coz huyu jamaa ni nomaa hapa jukwaani
Leo kwake kesho kwako