RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,877
- 129,893
Twende Kazi Wew Utakaa Nyuma.
thats my favourite position....pedalling from behind!
Twende Kazi Wew Utakaa Nyuma.
Mle Ndani Wenye Hela Ndipo Waishipo.
Ukiwa Na Hela Utapata
thats my favourite position....pedalling from behind!
aanhaaaa.....nimekupata.
ha ha ha kweli lakini hata shetani akizeeka anakuwa malaika!
Malaika mtaka fujo.
Naona vita ya Me vs Ke inaanza tena. Mara hamna hubby material, hamna wife material. You guys are so funny! Are you looking for perfect husbands and wives?
Nadhani kupitia posts humu unaweza kumsoma mtu uwezo wake kichwani, tabia, na mazingira aliyo pia. Tones zao, lugha na maneno wanayotumia na wanapoyatumia, namna wanavyo-interact na watu, ni rahisi sana kujua yupi wa kumuepuka na yupi anajielewa. Ni kweli wapo wanaojitoa 'ufahamu' ili kuburudisha na kuburudika, ila bado class haijifichi.
Kuna wanawake wanaojielewa vizuri tu humu, ila ni wachache sana, sana. Vivyo hivyo kwa upande wa pili.
Hahahaaaaaaa!! Yaani huyu ex wangu sijui siku hizi ana stress gani!! We angalia tu aina za thread anazoanzisha kokote kule utagundua tu there is something wrong, amechakaaa hatari, we Viol kuwajibu tutawajibu tu, aina yenyewe ya wanaume ndio wewe alafu unategemea majibu ya aina gani?? Unapewa majibu kulingana na akili yako, hata mtoto hufundishwa kulingana na uwezo wake wa akili, cute b uko wapi jamani? Hebu njoo umfanyie dogo councelling.
Naona vita ya Me vs Ke inaanza tena. Mara hamna hubby material, hamna wife material. You guys are so funny! Are you looking for perfect husbands and wives?
Kuna kitu so bure, lakini tatizo la Viol tunalifanyia kazi..atanyooka tu hamna namna !!Dogo kavurugwa si bure, nimemuomba hubby wangu Eli ampe semina kidogo amrudishe jandoni kuna kitu inaendelea kwa huyu kijana siyo mzuri kabisa,tuokoe jahazi kwa kweli......
Hahahaaaaaaa!! Yaani huyu ex wangu sijui siku hizi ana stress gani!! We angalia tu aina za thread anazoanzisha kokote kule utagundua tu there is something wrong, amechakaaa hatari, we Viol kuwajibu tutawajibu tu, aina yenyewe ya wanaume ndio wewe alafu unategemea majibu ya aina gani?? Unapewa majibu kulingana na akili yako, hata mtoto hufundishwa kulingana na uwezo wake wa akili, cute b uko wapi jamani? Hebu njoo umfanyie dogo councelling.
Inategemea na wewe ukoje...mimi nishakutana na wanawake kupitia JF,niliokutana nao mimi wote cute,intelligent na wana kazi zao nzuri sana tu. Nafikiri wewe binafsi unavyojiweka ndio una attract aina fulani ya watu. Vile vile inabidi ujue kusoma between the lines kujua huyu wa aina gani. Habari za wanawake wa jf wanapenda pesa au wapiga mizinga mimi nazisoma kwenye thread tu ila niliokutana nao hawako hivyo.
Ni kweli niliokutana nao hawana shida ya pesa,wengi wao wana kazi zao,ila kasoro zao kuwa na watoto,kutelekezwa,kuachwa nk
Hebu shika adabu yako, kuwa na mtoto/watoto hii ni kasoro?
Uko sawasawa kichwani?