nagano81
Member
- Sep 2, 2015
- 6
- 1
Sikubaliani na kauli ya kusema kwamba wasichana wa jf hakuna wife material.humu watu wanajiachia coz they are anonymous and they are trying to release stress.lakini wengi wao humu hawafanyi au hawapractise wanachoongea jf.mfano mzuri ni the so called MISS CHAGA!the way she comments in jf is totally different frm the way she really is!