Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Huyu dogo wiki hii kaanzisha mada hata hazieleweki ndo tunajaribu kujua nini kinamsibu.

Kwani we hujui kinachomsibu? Hivi vitoto vizazi vya BRN taabu tupu, kwani shule hazijafunguliwa jamani??
 
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...

mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent

Ila kiukweli, hii hali ya anonymity ndo umewapa uthubutu wa kuwa wakweli na kuonyesha rangi zao halisi!
 
Ndio. Ukiwa na Pesa Utapata Mapenzi Ya Kweli.

Mapanz hayaend bila pesa. utawasiliane kama huna pesa? Uta m-surprise mpenz aje kama huna pesa? Zawad huna pesa? Ukimtia mimba uta mtunzaje na kumuhudumiaje bila pesa? Hata condom upati bure. No money no mapenz.
 
We tokea unichimbe biti yaani sina hamu na wewe kabisa!!
Yaani mie hata naona huruma kwakweli, huyu mtoto sijui ana shida gani, eti wewe sio wife material?

Nilikuchimba biti mimi?kisa?hebu nikumbushe ilikuwa biti la nini?Muulize shemeji anajua kama mie ni wife material au lah
 
Je na wewe unauhakika ni husband material??????
 
Kiongozi, anzia hapo..au unataka gunia la misumari tukubebeshe..
Ну ты что! Вот девушка, давай не стисняйтесь!!

Haha,mshenga
Hapa unamaanisha nini?
 
halafu mechi inaendelea man city na real madrid sijui unafuatilia

Yaani naisoma reply yako napata notification RM wametupia 2, hivi wanaonyesha sehemu gani au nipe link ya live streaming.
 

Attachments

  • 1437731604860.jpg
    1437731604860.jpg
    51.4 KB · Views: 88
Last edited by a moderator:
Mie nimepata wife humu na sasa nakula raha Tu! Sijawahi kujuta na hakika sintajuta! She is the best!

Shikamoo marejesho!
 
Last edited by a moderator:
Mie nimepata wife humu na sasa nakula raha Tu! Sijawahi kujuta na hakika sintajuta! She is the best!

Shikamoo marejesho!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom