Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

@ Boss

Naomba uniunganishe na mmoja , inaonekana unafahamiana nao vizuri, lakini asiwe X-wako
 
Aiiii sio mimi kwakweli labda tumuulize cute b, mie yalinishinda nikabwaga manyanga, cute b akajibebea hana hata mwezi naye akabwaga manyanga, now yupo yupo tu anahaha tu humu jf hana A wala B.

Don't take it serious
 
Last edited by a moderator:
Wapo kibao...kwanza kuna wife material mmoja soon atamfanya my current wife material kuwa zilipendwa!
 
Naona vita ya Me vs Ke inaanza tena. Mara hamna hubby material, hamna wife material. You guys are so funny! Are you looking for perfect husbands and wives?

Nisaidie kushangaa.Mtu anaanzaje kutoa hitimisho rahisi kiasi hicho kwamba huku jf hawapo kwa iyo hata mtaani hawapo hawapo kitu ambacho pia hakiwezekani.Wazuri na wabaya wote wamo .
 
Nna ugwadu afu we unaniangalia tyyyy

Asubuh hatukuamka na BBC mpaka useme hivyo?Jana usiku Hukupata chakula kwani? Ohhhh!!! Kumbe hutosheki eeeh mpka na ya atoto pia .......mhhh!!! Kumbuka kuosha mwiko wangu tu.
 
Last edited by a moderator:
Nikupm nini sasa?
Wewe ni husband material? Hujazaa,hujafikisha thirty,haujaachika?we sio makombo??nijibu hayo nikupm sasa iv tuone kama ni rahisi

Yote haya bado,na umri nina 27yrs hata ukitaka tuonane utaamini,nipo DSM,ukiona sio uje uanike hapa Jf
 
Ni kweli niliokutana nao hawana shida ya pesa,wengi wao wana kazi zao,ila kasoro zao kuwa na watoto,kutelekezwa,kuachwa nk

tangu lini KUWA NA MTOTO,KUTELEKEZWA,KUACHWA imekuwa ni kasoro???!!!
 
Back
Top Bottom