Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Utakuwa una mke mwenye mtoto au umezalishwa,sio bure
Ni bure tu, simply huna akili.
Utakuwa una mke mwenye mtoto au umezalishwa,sio bure
Dogo kavurugwa si bure, nimemuomba hubby wangu Eli ampe semina kidogo amrudishe jandoni kuna kitu inaendelea kwa huyu kijana siyo mzuri kabisa,tuokoe jahazi kwa kweli......
Siwezi kuamini lazima hata1 linakuhusu,mwenyewe ndo unajua,kama haupo kwenye list naomba uni PM
Nashawishika kukubaliana na hoja yako huyu mdau kuna kitu kinamsumbuwa kichwani wala si bure maama ni jana tu nimemshikia bango mpaka kaondoa ile avatar ya kike.
Yaani kavurugwa hatari, am wandaz kwakweli!!! Au ile avartar yake ndio jinsia yake mkuuu!! Maana hii hali inatia mashaka haswaaaaa!
Sisi wazur bhana hofu yako tu mpendwa
Hebu shika adabu yako, kuwa na mtoto/watoto hii ni kasoro?
Uko sawasawa kichwani?
Utakuwa una mke mwenye mtoto au umezalishwa,sio bure
Grow up!
talk like a man!
Ni bure tu, simply huna akili.
yaan! usiombe akili ichanike! maana utashindwa kupambanua mambo! hata 6 unaweza kudhani 9 kumbe umeinama! bora ichanike nguo utashona! kavurugwa anayeona mtoto kasoro!
Haina formula hii kitu. . . . mkikutana mkaamua kila mmoja ajirekebishe mtaweza ila kila mtu akikomaa na "mi ndio nilivyo". . . . . hata mkienda kuishi mbinguni itachanika tu
Tukuulize wewe, labda ukalidailuti limbwata la Kitanga.
Aiiii sio mimi kwakweli labda tumuulize cute b, mie yalinishinda nikabwaga manyanga, cute b akajibebea hana hata mwezi naye akabwaga manyanga, now yupo yupo tu anahaha tu humu jf hana A wala B.
Kuna mijitu humu ni laanatul, watu wanakwenda hadi kwa waganga kutafuta baraka za kupata mtoto halafu anatokea kima mmoja eti anasema mtoto ni kasoro? I can't beleive my eyes kwakweli.