Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Mie nimepata wife humu na sasa nakula raha Tu! Sijawahi kujuta na hakika sintajuta! She is the best!

Shikamoo marejesho!
 
Last edited by a moderator:
Mie nimepata wife humu na sasa nakula raha Tu! Sijawahi kujuta na hakika sintajuta! She is the best!

Shikamoo marejesho!

Mbona umeadimika hivyo?na nilivyokumiss hebu tukutane kwa mrombooooo unipe offer ya nyama choma
 
Last edited by a moderator:
Mapanz hayaend bila pesa. utawasiliane kama huna pesa? Uta m-surprise mpenz aje kama huna pesa? Zawad huna pesa? Ukimtia mimba uta mtunzaje na kumuhudumiaje bila pesa? Hata condom upati bure. No money no mapenz.

:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
sometimes na nyie mnatumia maneno mabaya we can't stand.
halafu wengi mnadhan wanawake wote hum tunataka mapenzi mnasahau ndio sisi sisi tupo wote maofisin tunapokea mshahara unalingana.

ni moja ya sababu..sawa!Lakin wengi wenu(wanaofahamika sana humu JF) mkirekebishwa kidogo tu..shida...yani lazima mtoe majibu ya ovyo,na ndio jambo ninalozungumzia...

Poa Sr.....Pamoja!
 
ila wamejichanganya humo humo kujifanya wazinguaji
mie kama nakuona...ukishalizwa ndo unakuja kuyamwaga huku teh teh..ebu rudi kujiandikisha bvr..afu wa jf ndo hao hao unaishi nao kitaa..sasa ukiconclude hivo ujue na mtaani pia hakuna yf materials..viol
 
ha ha ha hakuna wife material humu yan humu wote ni....... . ntamalizia next tyme
 
Wakati Mwingine Unaweza Ukamkimbiza Chui Kwa Kudhani Kuwa ni Kondoo lakini Utakapo mkamata ndipo Utakapogundua kuwa uliingia keko badala ya movenpick
 
hivi mwisho wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ni lini?
 
Back
Top Bottom