Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Wanawake wa humu wako desperate sana na maisha, wako obsessed na pesa. Wamekata tamaa ya maisha,wengi wametendwa huko wanamalizia hasira zao humu,wana excessive and extreme negativity na wanaume.

Wengi pia wanaonekana ni shapeless,polygons,hawana balanced body alinment. But wako poa for sex,wanaonekana wajuzi wa sex kwa hiyo najua for sex they wont let you down.
 
Kama kichwa ndio ntu basi wewe una kiwiliwili tu.
 
Mm kuna mmoja anajiita atoto namtaka sana atakama ameolewa niko radhi kuwa buzi.. popote alipo ajisogeze mm ni mutu ya pesa
 
Last edited by a moderator:
Mm kuna mmoja anajiita atoto namtaka sana atakama ameolewa niko radhi kuwa buzi.. popote alipo ajisogeze mm ni mutu ya pesa

Hahahaaaaaa! Umenifanya nicheke bila kutarajia, here i am, haya tell me.
 
Last edited by a moderator:
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...

mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent

Sio kweli, mazungumzo ya watu humu hata kwa majina yao uongo yanatumika kujudge watu na kujua tabia zao. Ingekua hivyo unavyosema basi FBI & CIA wasingekua wanatrack down magaidi ambao hutumia majina feki mitandaoni na kuwakamata.

Ukweli ni kwamba tunaweza kuficha majina yetu lakini hatuwezi kuficha uhalisia wetu wa ndani na hisia zetu za ndani.

Na ujue mtu asipotumia jina lake halisi huwa huru kueleza hisia zake kuliko anavyotumia jina lake halisi maana ataogopa jamii,rafiki watamuonaje. Mfano wanaosema humu au ambao huwa wanatetea mada za mashoga humu hawawezi kufanya hivyo katika maisha halisi.

Ukweli ni kwamba usipotumia jina lako ndio rahisi zaidi watu kujua hisia zako kuliko utakapokua na jina halisi.
 
Mwalimu mie tayari niko nyang'anyang'a kwa kipenzi cha roho yangu Manga ML, yaani sisikii wala siambiliki.

huyo Manga ml anayekuchanganya itabidi nimfanyie mchakato wa kumsogeza kuleee alipo babu seya.. nikisha kutenga naye njia itakuwa nyeupe bila kizuizi
 
Last edited by a moderator:
huyo Manga ml anayekuchanganya itabidi nimfanyie mchakato wa kumsogeza kuleee alipo babu seya.. nikisha kutenga naye njia itakuwa nyeupe bila kizuizi

Ukimpeleka ujue lazima tugawane majengo ya serikali, yaani he is my everthing.
 
Back
Top Bottom