Hivi inawezekana ukaoa alafu.....

Hivi inawezekana ukaoa alafu.....

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
Hivi jamani unaweza oa mwanamke aalfu ukawa mabli nae alafu kukawa na usalam,(asichakachue)
Kwa mfano Unarudi nyumbani kila baaada ya siku 90 -180 na ukirudi nyumbani unakaa siku 4 tu, alfu unaondoka tena kwa siku kama 90 nakuendea kila mwaka

Nisaidieni hapo wajemeniiiiiiiiiiiii
 
hama na wife wako lasivyo usije kumsingizia shetani wakati toka mwanzo ulikua unajua kifuatacho ITV ni sebene halafu mwishoni unasema niliona ni injili mweh tafakali chukua hatua."HAKI YA NDOA IZINGATIWE"
 
Ili tukupe jibu, kwa ratiba hiyo ya wewe kuwa mbali na mke unaweza kukaa bila kuchakachua?
 
kama ww unaona hauwezi sie tutakufanyaje uweze ..we piga tu ilimradi kwa mkeo heshima to the peak.
 
Inawezekana sana. Watu tunamaliza hadi miaka miwili bila majambowwwzzy!
 
hama na wife wako lasivyo usije kumsingizia shetani wakati toka mwanzo ulikua unajua kifuatacho ITV ni sebene halafu mwishoni unasema niliona ni injili mweh tafakali chukua hatua."HAKI YA NDOA IZINGATIWE"

Bado sijaoa ila nina mpango huo, isipokuwa kampuni ninayo ifanyia kazi iko porini na familia haziruhusiw huku.
 
Daaaah hii ni hatari, hama na mkeo!
 
waulize watani zako kilichofanya kila familia iwe na mtoto wa nje ya ndoa,
ili ukiweza ukae nje ya ndoa hata mwaka mmoja na kuendelea.
 
Pole weeeh,kwann usimwamishie serengeti? Nawafaham watu kibao wanafanya kazi hifadhin na familia zao ziko town,kwani unamhisi mkeo anachakachua? Wewe huko je huchakachui?
Hivi jamani unaweza oa mwanamke aalfu ukawa mabli nae alafu kukawa na usalam,(asichakachue)
Kwa mfano Unarudi nyumbani kila baaada ya siku 90 -180 na ukirudi nyumbani unakaa siku 4 tu, alfu unaondoka tena kwa siku kama 90 nakuendea kila mwaka

Nisaidieni hapo wajemeniiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom