ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
sioni faida ya kujadili
Inasaidia nini kupanda au kutokupanda ndege
Kwani kupanda ndege ndo mafanikio au vipi
na ukipanda imekusaidia kuongeza nini maishani mwako
Au usipopanda imekuongezea au kukupunguzia nini mmaishani mwako
karibu tusker baridi mkuu baada ya kuongea point nzito...