Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

yap,babkubwa kiongozi wetu,mie mwenyewe nishawahi kulikwea pipa. Nalog off
 
Haha jaman watu mikoani wanachekana hawajah fika dar, sasa unajikaz unafika dar unaambiwa ujawah panda ndege ukijikaza ukapanda ndege litaibuka jingne.
 
Haha jaman watu mikoani wanachekana hawajah fika dar, sasa unajikaz unafika dar unaambiwa ujawah panda ndege ukijikaza ukapanda ndege litaibuka jingne.

Issue ni hapo katika "kujikaza !" unaanzajeanzaje?
 
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:

Kwani ni lazima kupanda ndege?
 
Mie nilipanda ndege ya jeshi wakati nipo mdogo.
 
Nikifikiriaga mazingira ndani ya daladala: kubanana, kukanyagana, watu kupiga simu kwa sauti, kuzozana na konda etc huwa nina wonder ndani ya ndege hua kuna mazingira gani, mafiakisiwani nisaidie.
 
kwajili shirika la ndege lina ndege moja.na watz wako milion 40
 
Back
Top Bottom