Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

Hahaaaaa! Vin usinivunjie ndoa chonde chonde! Mheshimiwa ARE YOU INVITED? Maana michepuko yako imekuwa invited sass mswati ukiachwa itaboa snaaa maana naskia una kitu KIPYAAAA! Cant wait to see her!:A S wink:


Sasa na wewe unadhani nisipoalikwa mie nani ataalikwa??
Halafu usitake kunichafulia ndoa yangu.. miss neddy naona sound zangu zimegonga ukuta pale.
 
Last edited by a moderator:
Mambo yale ni PRIVATE TU! Acha tunaojuana tuzidi kujuana na wale wa nyuma ya keyboard wazike wafu wao nyuma ya key board! :cool2::cool2:
NSA tu itakuwa na EXCLUSIVITY ya umbea wa siku hio! Wambea wengine wasioenda shule tupa kuleeee! Cc miss neddy you are not invited! (I didnt think so!)

hahahaha wa nyuma ya keyboard waendeleee ku guess
ila mimi sijaaalikwa tena? umesahau kama mimi ndo kachumbari eeeeh
 
Kawe kagauni keusi, walau nionekane slim, nilivyo mnene.

Wee nitakujua from miles away 🙂

Hakuna cha kualikwa wala nini. Wewe sema tu nikuletee kigauni gani uzuke!

Mi lazima nizuke...willy nilly.
 
File langu jeupeee, halijapewa hata namba.

Hahaaaaa! Kwakuwa mwanamke utaalikwa tu! Si unajua wadada ndo pambo!? Ila usiwe na skendo ya umbea umbea na kufatilia yasiyo kuhusu! MAANA MWAKA HUU MAMBO NI XXXL, NEXT LEVEL! Na Ticha is invited already! Chezea ticha weyeeeeee! Aaaaah! Chama kubwa lile!
 
Back
Top Bottom