KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,586
- 89,236
Mh! Baby profile yangu hata usiitukane ni inahitaji fikra sema ipi umeshindwa kuielewa nikueleweshe...?
Mh! Baby profile yangu hata usiitukane ni inahitaji fikra sema ipi umeshindwa kuielewa nikueleweshe...?
Alishazoea michango tokea kipindi cha sajuki mmeweDada anajua kulalamika huyu sijawahi ona mgonjwa wa aina yake
Halaf aliolewa na yule mbunge wa zenji si angetulia hapo akalelewa jamanLeo nimeona video zake amepata msaada anapelekwa hospital yupo kwenye machela Ila mgonjwa bado ana lalamika nimecheka.
Na huwa anaenda Oman kukaa kwa ndugu zzke nadhan ana asili ya uarabu ,mi nilidhanig atatulia na yule bwana mbunge ana helaKwanza hana njaa Wastara, kwao wanamiliki maduka ya Sonara miaka na miaka, shida ya huyo Dada anapenda maisha ya gharama, anapenda kuishi kama wanawake wa kiarabu wa Oman au Saudia,
Ila mchangieni tu mengine atajua yeye na Mola wake 😀😀
Nasikia alimdanganya mbunge kwamba ana umwa,Mbunge akampa pesa aende India kutibiwa kumbe ni mwongo ndipo akapewa taraka.Halaf aliolewa na yule mbunge wa zenji si angetulia hapo akalelewa jaman
Niliona alienda india akarudi na mzigo wa dukan ,akaombwa risitiNasikia alimdanganya mbunge kwamba ana umwa,Mbunge akampa pesa aende India kutibiwa kumbe ni mwongo ndipo akapewa taraka.
😆😆😆😆Niliona alienda india akarudi na mzigo wa dukan ,akaombwa risiti
Wale mabwanaa zakeee waliompitiaa leoo wamemkimbiaa WOTEE sijui anaumwa nn jamani lohView attachment 3345417
Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.
Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?
Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?
Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
ni mzanzibari, ndugu zake wengine alisema wapo oman, samia pia lazima atakuwa ndugu yake. mchangieni kama mnacho, msimseme, hajawalazimisha.View attachment 3345417
Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.
Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni Yatima au ametengwa na Ndugu zake?
Mbona hata sisi tunauguliwa lakini tunajikusanya na kuchangia matibabu ya Ndugu zetu na mara kadhaa tumesafirisha ndugu kutibiwa hadi India na kwingineko, Ndugu wa huyu Wastara hawakooni hilo, mpaka ndugu yao kutwa kucha kwenye media kuomba misaada, hawaoni Aibu?
Hata kama serikali ina hela, lakini inawezekanaje msaada wake uwe kwa Wastara tu miaka yote, nani amesahau Wagonjwa waliopona lakini hawaruhusiwi kuondoka mawodini hadi ndugu zao walipe bili za matibabu, Je hao hawastahili kulipiwa na serikali?
umecheka nini sasa wakati mwanadamu mwenzio analalamika maumivu ya kuumwa? upo sawa kichwani?Leo nimeona video zake amepata msaada anapelekwa hospital yupo kwenye machela Ila mgonjwa bado ana lalamika nimecheka.
Kabisa mkuuSaidia kama utaweza
Siamini Kuna mtu anafurahia kuomba
Ila weweLeo nimeona video zake amepata msaada anapelekwa hospital yupo kwenye machela Ila mgonjwa bado ana lalamika nimecheka.
Kumbe ni muongo?Nasikia alimdanganya mbunge kwamba ana umwa,Mbunge akampa pesa aende India kutibiwa kumbe ni mwongo ndipo akapewa taraka.